Naibu Kamishna Polisi (DCP): Wananchi Tanzania wanalifurahia jeshi lao la polisi

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000

"Tanzania ni miongoni mwa nchi chache katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambazo, askari na wananchi wana mahusiano mazuri kuliko nchi nyingine katika jumuiya hii, na wananchi wanalifurahia jeshi lao kwa namna linavyolinda maisha yao na mali zao".

Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Ramadhan Ng'anzi, Kamanda wa Kikosi cha usalama barabarani nchiniAkihojiwa kwenye kipindi cha Kasri kinachorushwa na kituo cha redio cha Crown FM.

Kwenu Wakuu!
 
Wala msibishe ni kweli kabisa wananchi hawana shida na polisi,wao polisi ndio wana shida na wananchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…