Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Changamoto ya upumuaji eeh!Nemonia inashambulia sana hasa miili hiyo? Anyway rip kamanda
Wamethibitisha kwamba pneumonia ndio chanzo cha kifo?Nemonia inashambulia sana hasa miili hiyo? Anyway rip kamanda
Kila anayekutwa na mauti upumuaji huwa unakoma!Changamoto ya upumuaji eeh!
Sawa Mrs Polepole, naibu mtetezi wa utawalaWamethibitisha kwamba pneumonia ndio chanzo cha kifo?
Kila anayekutwa na mauti upumuaji huwa unakoma!
Hivi eeeSawa Mrs Polepole, naibu mtetezi wa utawala
Mama D
Korona haipoHivi eee
Kwani huo msiba unahusiana vipi na mtawala!?
Lema, Msigwa, Mbowe na wengine hawatapokea per diem halafu watoke njeππππMmmh,sasa itakuwaje huko Dodoma na bunge ndo linaanza
Kwani kila kifo kinachotokea ni corona?Korona haipo
In somebody voive
Rip!Washikaji, Corona ipo, achaneni na wanasiasa wanaopanda madhabahuni kudanganya umma ili msichue tahadhari, mfe, wakati wao wako lockdown