Zombi Mweusi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2017
- 841
- 1,755
Hivi China wanakufa wangapi kila dakika?jaman mkishakuwa wengi vifo ni kawaida tanzania tukifika mil 100 tegemea misiba kila kijiji na ni kila siku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la heri.Naibu Kamishna wa Magereza, Julius Sang'udi amefariki dunia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma leo Januari 20, 2021, Mkuu wa Jeshi hilo Meja Jenerali Suleiman Mzee amethibitisha.
Hatuko serious tuna mzaha mwingi na vifo vya watu.
Sidhani ndugu zao wanajisikiaje wakisoma haya kuwa ndugu zao wanaambiwa wamekufa na Corona wakati wao wanajua ndugu yao kafa na ugonjwa gani.
TUBADILIKE.
hao marehemu Wana ndugu na Wana moyo na wanajisikia vibaya.
Ofcourse etiquette haitutaki tuwe wasemaji wa familia..., ila inabidi pia tuelewe Corona sio Ugonjwa wa aibu, kwahio ni busara kuambiana (ukweli) watu wachukue tahadhari, ila ni vigumu kujua kwa uhakika sababu kuna mambo wanasiasa ndio wamekuwa ma-doktaHatuko serious tuna mzaha mwingi na vifo vya watu.
Sidhani ndugu zao wanajisikiaje wakisoma haya kuwa ndugu zao wanaambiwa wamekufa na Corona wakati wao wanajua ndugu yao kafa na ugonjwa gani.
TUBADILIKE.
hao marehemu Wana ndugu na Wana moyo na wanajisikia vibaya.
Toyota coronaKwani kila kifo kinachotokea ni corona?
Ofcourse etiquette haitutaki tuwe wasemaji wa familia..., ila inabidi pia tuelewe Corona sio Ugonjwa wa aibu, kwahio ni busara kuambiana (ukweli) watu wachukue tahadhari, ila ni vigumu kujua kwa uhakika sababu kuna mambo wanasiasa ndio wamekuwa ma-dokta
50% ya wanaopata Corona ni asympotomatic, unaweza ukapata Corona na ukapona bila kujua (na hii nadhani kwa bongo / African Countries ndio ipo sana).Lakini pia usisahau kuwa Corona inaambukiza.
Ni ugonjwa hatari sanaa.
Inakuchukua siku 2 Hadi 14 kuonesha dalili.
Kama ingekuwa Corona ipo Tanzania Ni wazi wagonjwa wangeongezeka Hilo nalo haulifikirii?.
Tunapotoa taarifa tuwe na uhakika nazo.
Ni hatari sana!Semeni basi Kama Ni koona
Kwani kila kifo kinachotokea ni corona?
Pole sana broHata watu wa kawaida, nipo msibani muda huu baba yangu mkubwa kasombwa na korona.