Binamu usiisemee corona tu.Washikaji, Corona ipo, achaneni na wanasiasa wanaopanda madhabahuni kudanganya umma ili msichue tahadhari, mfe, wakati wao wako lockdown
Washikaji, Corona ipo, achaneni na wanasiasa wanaopanda madhabahuni kudanganya umma ili msichue tahadhari, mfe, wakati wao wako lockdown
Tena ina mapenzi makubwa na vitambi.Washikaji, Corona ipo, achaneni na wanasiasa wanaopanda madhabahuni kudanganya umma ili msichue tahadhari, mfe, wakati wao wako lockdown
Lema, Msigwa, Mbowe na wengine hawatapokea per diem halafu watoke nje[emoji16][emoji23][emoji23][emoji16]
Watu wanakufa kwa magonjwa mengine ya kawaida mnasingizia korona.Washikaji, Corona ipo, achaneni na wanasiasa wanaopanda madhabahuni kudanganya umma ili msichue tahadhari, mfe, wakati wao wako lockdown
Hata watu wa kawaida, nipo msibani muda huu baba yangu mkubwa kasombwa na korona.kama ni yenyewe sijui kwanini ichukue viongozi
Lakini kwanini mkuu hataki kuwa mkweli? Matokeo yake watu hawachukui tahadhari yoyote.Binamu usiisemee corona tuu
Malaria ipo
Ukimwi upo
UTI ipo
Typhoid ipo
N.k
Tahadhari lazima, sio kwa corona tuu hata magonjwa mengineLakini kwanini mkuu hataki kuwa mkweli? Matokeo yake watu hawachukui tahadhari yoyote
Tahadhari za korona sio rafiki sana kwa utamaduni wetu, mpaka juzi nilikuwa Ferry, dada mmoja alivaa barakoa, mama mmoja mtu mzima sana, akasema kwa dharau uchuro huo, akatokea mdada mmoja akampuga singi Yule mwenye barakoa, zogo likawa kubwa yule dada akaporwa barakoa yake.Tahadhari lazima, sio kwa corona tuu hata magonjwa mengine
Funika kinywa unapopiga chafya
Nawa mikono kila Mara
Usikae kwenye makusanyiko ya watu
Tahadhari za korona sio rafiki sana kwa utamaduni wetu, mpaka juzi nilikuwa Ferry, dada mmoja alivaa barakoa, mama mmoja mtu mzima sana, akasema kwa dharau uchuro huo, akatokea mdada mmoja akampuga singi Yule mwenye barakoa, zogo likawa kubwa yule dada akaporwa barakoa yake.Tahadhari lazima, sio kwa corona tuu hata magonjwa mengine
Funika kinywa unapopiga chafya
Nawa mikono kila Mara
Usikae kwenye makusanyiko ya watu
Heheheee watu hawataki uchuroTahadhari za korona sio rafiki sana kwa utamaduni wetu, mpaka juzi nilikuwa Ferry, dada mmoja alivaa barakoa, mama mmoja mtu mzima sana, akasema kwa dharau uchuro huo, akatokea mdada mmoja akampuga singi Yule mwenye barakoa, zogo likawa kubwa yule dada akaporwa barakoa yake
Kifo sio uchuro, kifo ni hakika kwa kila chenye uhaiHeheheee watu hawataki uchuro
kama ni yenyewe sijui kwanini ichukue viongozi
Wanaenda tu.... Tanzia kila baada ya masaa 6