TANZIA Naibu Kamishna wa Magereza, Julius Sang'udi afariki dunia

Hivi China wanakufa wangapi kila dakika?jaman mkishakuwa wengi vifo ni kawaida tanzania tukifika mil 100 tegemea misiba kila kijiji na ni kila siku
 
Dipotivo kila siku tunasema humu kuanzia Dec 2020 idadi ya vifo imeongezekana sana!!

Dipotivo ipo chukua tahadhari...Tumia tangawizi,pilipili na mchai chai.
 
Na kabla ya korona tulikuwa hatuna mashine za upumuaji hata maji maana tulikuwa tukifa bila kukosa hewa unakatika kama umeme
 

Ni kweli mkuu tunakwama sana hapo, pia inaleta hofu
 
Ofcourse etiquette haitutaki tuwe wasemaji wa familia..., ila inabidi pia tuelewe Corona sio Ugonjwa wa aibu, kwahio ni busara kuambiana (ukweli) watu wachukue tahadhari, ila ni vigumu kujua kwa uhakika sababu kuna mambo wanasiasa ndio wamekuwa ma-dokta
 
aisee, ndio maana diamond kajisemea usiniguse usinitach salamu iwe kwa miguu.....
 
Hii kitu ikimchukua yule jamaa nitashukuru sana!
 
Lakini pia usisahau kuwa Corona inaambukiza.
Ni ugonjwa hatari sanaa.
Inakuchukua siku 2 Hadi 14 kuonesha dalili.
Kama ingekuwa Corona ipo Tanzania Ni wazi wagonjwa wangeongezeka Hilo nalo haulifikirii?.
Tunapotoa taarifa tuwe na uhakika nazo.
 
Lakini pia usisahau kuwa Corona inaambukiza.
Ni ugonjwa hatari sanaa.
Inakuchukua siku 2 Hadi 14 kuonesha dalili.
Kama ingekuwa Corona ipo Tanzania Ni wazi wagonjwa wangeongezeka Hilo nalo haulifikirii?.
Tunapotoa taarifa tuwe na uhakika nazo.
50% ya wanaopata Corona ni asympotomatic, unaweza ukapata Corona na ukapona bila kujua (na hii nadhani kwa bongo / African Countries ndio ipo sana).

Corona inaambukiza sana ila mortality rate yake sio kubwa sana..., ikikukuta haupo ngangali lazima uongezewe neno RIP kama prefix...., Pia maadamu kuna new variants zinatokea hatujui hiki kilichopo / kitakachokuja kitakuwa na hatari kiasi gani..., kwahio caution is always advised
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…