Naibu Katibu Mkuu wa UV-CCM Asimamishwa!

Naibu Katibu Mkuu wa UV-CCM Asimamishwa!

Joined
Apr 27, 2006
Posts
26,584
Reaction score
10,400
- Habari nilizozipata sasa hivi toka ndani ya CCM, zinasema kwamba Naibu katibu wa UV-CCM ndugu Francis Isaack, amesimamishwa kazi hiyo mara moja kwa tuhuma za ubadhirifu wa pesa, amesimamishwa kuanzia leo tarehe 18. 2. 09.

Tutakuwa na habari zaidi as soon zitakapopatikana..!
 
Last edited by a moderator:
Kama huyu kasimamishwa ndio kwanza mchakato wa umoja huu kuvunjika umeanza rasmi, kwani wengine wataanza kuibuka na linaweza kuishia kule kule kwa Nnape , ambaye hata waliposema kuwa wamemfukuza uanachama lakini mpaka leo bado ni mjumbe wa NEC , kuwakilisha vijana .
 
kama amefanya hilo kosa tena na wenzie lazima matumbo joto wanajua watatajwa. Tusubiri habari zaidi kwa kina!
 
Wakulu heshima mbele, nadhani wataweka wazi ametafuna nini na akina nani manake ushirika wa wachawi haudumu,,

vipi Mkuu FMES una nyeti zozote za Bwana mdogo Nape, I mean sas ahivi what is he up to mkuu manake naona kimya kingi sijamsikia tena au uchaguzi umeisha?
 
...kweli mbuzi wa kafara, na lile sakata la majengo ya Umoja wa vijana ndio limechinjiwa baharini? Nape anafungua mabaraza ya vikao vya kahawa vya wazee wa CCM.. sijui kama kuna jipya tena huko..😕
 
vipi Mkuu FMES una nyeti zozote za Bwana mdogo Nape, I mean sas ahivi what is he up to mkuu manake naona kimya kingi sijamsikia tena au uchaguzi umeisha?

- CCM taifa ilimuomba kwenda Mbeya kiuisaidia kwenye uchgauzi wake mdogo wa bunge, kwa hiyo alikuwa huko na ni mmoja wa waliosaidia kushinda kwetu huko, unajua kwa kawaida huwa ana kazi nzito sana ndani ya CCM taifa, na pia ni mjumbe wa NEC, kwa hiyo ana majukumu makubwa sana kitaifa kwa hiyo sio rahisi kumsikia sikia mitaani, lakini yupo Dar sasa hivi unaweza kumpata pale CCM Lumumba street.

Ahsante Mkuu, ila kwa sasa nina wageni wengi sana hapa unajua jamaa aliyefiwa yaani mume wa Marehemu Sister Pendo na watoto wake ndio sasa hivi wamefika hapa kwa hiyo tutaendelea kuhabarishana zaidi yanayojiri huko UV-CCM, as soon as nikizipata zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Sense of responsibility and accountability...however too late! CCM must work in all ways possible! other wise its downfall is innevitable
 
Mkuu FMES,

kwanini haya hayakufanyika kipindi kile cha tuhuma za Nnape dhidi ya kina Nchimbi, Lowassa et al?

Najua utakuwa na nzito zaidi mkuu
 
Ndo (UV)-CCM wameshtuka kumekucha? Uchaguzi Serikali za Mitaa 2009, ule wa kutoa panya-buku 2010!
 
Naona sasa ukweli wa mambo unaanza kuonekana.Ikumbukwe tu kwamba DHULUMA NA UBADHILIFU HAVITENDI HAKI YA MWENYEZI MUNGU.

halla back field marshall
 
Back
Top Bottom