Mdudu halisi
JF-Expert Member
- May 7, 2014
- 2,730
- 4,768
Hawa mahayawani tumewachoka sasa. Kuna wakati waziri Mhongo alituambia kwamba serikali inaplan kununua umeme wa bei nafuu toka Ethiopia. Leo wanaota kuuza umeme nchi jirani. Nyambaaf!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumeshaambiwa miundombinu ya umeme ni ya zamani na inahitaji ukarabati wa hali ya juu. Vilevile, wapo wanaohujumu njia za umeme kwa kuiba nyaya na mafuta ya transfoma! Hizi ni sababu zinazosababisha ukosekanaji wa umeme kwa baadhi ya maeneo.Sina uhakika kama nimekuelewa unacho maanisha...Kwa nini kuna shortage?
muda si mrefu utaungana na mimi kuwasifu brother.NITA PONGEZA ITAKAPO FIKIA HATUA YA KUPONGEZA SITA PONGEZA KWA TAKWIMU ZA KWENYE MAKARATASI NA BAHATI NZURI UMEME NI BIDHAA UNAYO IPATA MOJA KWA MOJA NA ISIYO HITAJI SABABU NYINGI NISIZO STAHILI KUZIJUA KAMA NIKI KULIPA IN ADVANCE(LUKU) TAYARI NI MKATABA NI WAJIBU WAKO UNILETEE UMEME SABABU NYINGINE YOYOTE NA TAKWIMU HAINA NAFASI VINGINEVYO INGEKUWA NCHI ZA WENZETU UNA SHTAKI SHIRIKA HAYA MAMBO YETU YA YANI,YANI NA ACTUALLY NDIO YANAYO TU DUMAZA MIAKA YOTE TUNATAKA UMEME UWE STABLE KWA WAKATI WOTE, I WISH KATIKA HIZO TAKWIMU ZAKO UNAJUA NI KIASI GANI KINAPOTEA KWA SAA MOJA YA KUKOSEKANA UMEME DSM,HAPA NINA KUJIBU UMEME ULI KATIKA KWA DAKIKA KUMI HUKU MBEZI BEACH,PENGINE HATU FANANI MIMI SI SIFU TU ILI MRADI,NINA SIFU KWA UBORA WA HUDUMA NA HUDUMA NZURI NA MUDA UKIFIKA NITAFANYA HIVYO WEWE UNATOSHA SANA KUWASIFU KWA SASA.
Yakiwa mazuri na sio ubabaishaji bila shaka tutaimba wimbo mmoja.nafikiri
muda si mrefu utaungana na mimi kuwasifu brother.