Naibu Mkurugenzi TANESCO Deckian Mhaiki atangaza Tanzania kuanza kuuza umeme Kenya ndani ya miaka miwili

Hawa mahayawani tumewachoka sasa. Kuna wakati waziri Mhongo alituambia kwamba serikali inaplan kununua umeme wa bei nafuu toka Ethiopia. Leo wanaota kuuza umeme nchi jirani. Nyambaaf!
 
Sina uhakika kama nimekuelewa unacho maanisha...Kwa nini kuna shortage?
Tumeshaambiwa miundombinu ya umeme ni ya zamani na inahitaji ukarabati wa hali ya juu. Vilevile, wapo wanaohujumu njia za umeme kwa kuiba nyaya na mafuta ya transfoma! Hizi ni sababu zinazosababisha ukosekanaji wa umeme kwa baadhi ya maeneo.
 
nafikiri
muda si mrefu utaungana na mimi kuwasifu brother.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…