Naibu Msajili wa vyama vya siasa awaibukia CHADEMA Ofisini kwao

Ukiona wanavochekeana ndo unaelewa kwamba Siasa hazihitaji Hisia.Zinahitaji uelewa na upeo.Msajili kuna namna anataka anedlee kuonekana Relevant nafikiri ana mpango wa kugombea huyu.
 
Ameona uwe mpore awe karibu nao, maana kila analofanya anaonekana kakosea mbele ya watanzania
 
Sugu Motochini hayupo karibu ili amtukane lile tusi lake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…