Chief Sanze
JF-Expert Member
- Jun 13, 2014
- 1,668
- 3,736
Kuna watu wana roho mbaya za asili tu hakuna cha usalama wa nchi wala nini na kuna mambo ukifanya ujue wazi unajitendea mwenyewe.Hvy ndivyo rais wa nchi anatakiwa awe, na sio kuwabembeleza wapumbavu linapokuja suala la usalama wa nchi
Kwani kimara watu walionewa? Ama unaongea jambo usilolijua?Wakenya siyo kama hawa maiti wanaotembea wq TZ huwezi minya haki zwatu Kenya kama kubomo nyumba za watu kimara kwa huyo mnaemwita Shuja siju wa nn? Kenya wakuchekee
Akistaafu kama wenzake, hujiulizi Mwinyi Yuko hai mpaka Leo au JK sababu hawakuwa na visasi vya ajabu so wanakua na maadui wachache. Sasa huyo jamaa yenu kagombana na Kila mtu kuanzia wapinzani, waandishi wa habari, mabeberu, NGOs, Walimu, watumishi wa umma, vijana wasio na ajira n.k ulidhani ata survive??Wakati wake wa kufa ilipaswa kuwa lini.?
Umesahau,Akistaafu kama wenzake, hujiulizi Mwinyi Yuko hai mpaka Leo au JK sababu hawakuwa na visasi vya ajabu so wanakua na maadui wachache. Sasa huyo jamaa yenu kagombana na Kila mtu kuanzia wapinzani, waandishi wa habari, mabeberu, NGOs, Walimu, watumishi wa umma, vijana wasio na ajira n.k ulidhani ata survive??
Hujui chochote kuhusu kuongoza nchiKuna watu wana roho mbaya za asili tu hakuna cha usalama wa nchi wala nini na kuna mambo ukifanya ujue wazi unajitendea mwenyewe.
Kwanini mnapenda kujifichia kwenye mafanikio ya JPM pekee? Akilaumiwa kuminya katiba mnakimbilia kusema alijenga Barabara?? Sasa kutumbua vyeti feki Inahusiana nini na kupora Forex za watu? Au inahusiana nini na kuondoa pesa za serikali kwenye benki binafsi kwenda Bot ambako hazizai? Au inahusiana nini na kupora Hela za watu kupitia task force?Umesahau,
pia aligombana na wapiga dili, vyeti feki, wanaofanya kazi kwa mazoea serikalini n.k
Tatizo liko wapi mzee wangu, c tunazungumzia kugombana au.?Kwanini mnapenda kujifichia kwenye mafanikio ya JPM pekee? Akilaumiwa kuminya katiba mnakimbilia kusema alijenga Barabara?? Sasa kutumbua vyeti feki Inahusiana nini na kupora Forex za watu? Au inahusiana nini na kuondoa pesa za serikali kwenye benki binafsi kwenda Bot ambako hazizai? Au inahusiana nini na kupora Hela za watu kupitia task force?
Mbona JK akitumia wapinzani hasa Zitto kung'oa mawaziri mizigo in fact baraza la mawaziri lilipanguliwa zaidi ya mara 7 from 2011 to 2015. Kuna wakati unaweza tumia siasa au diplomasia kufanya kazi bila kutengeneza maadui.Tatizo liko wapi mzee wangu, c tunazungumzia kugombana au.?
Peleka ujinga pale, munajifanya muko-advance, wa-Venezuela wakaingia kwenye Sarver ze IEBC wakacheza walivyochoka WAKANYA humo matokeo yake wakawapa RAISI mwizi makamu wake mwizi.... nchi inaendeshwa ki-matako matako... wanaogop nini hizo Server kufikiwa?Nadhani Shujaa wa Nchi jirani anajulikana
Naibu Rais Gachagua amesema angekuwa yeye pale juu asingemlealea kabisa Raila Odinga na hata Uhuru Kenyatta analielewa hilo
Gachagua amesema ana vijana wa kutosha nyuma yake hivyo Raila aache upuuzi wa kuisumbua Serikali bila sababu za msingi
Mlale unono!