Naibu Rais Gachagua asema Ruto ni mpole sana angekuwa yeye pale juu angetenda kama Shujaa wa Nchi jirani!

Naibu Rais Gachagua asema Ruto ni mpole sana angekuwa yeye pale juu angetenda kama Shujaa wa Nchi jirani!

Wakenya siyo kama hawa maiti wanaotembea wq TZ huwezi minya haki zwatu Kenya kama kubomo nyumba za watu kimara kwa huyo mnaemwita Shuja siju wa nn? Kenya wakuchekee
Kwani kimara watu walionewa? Ama unaongea jambo usilolijua?
 
Wakati wake wa kufa ilipaswa kuwa lini.?
Akistaafu kama wenzake, hujiulizi Mwinyi Yuko hai mpaka Leo au JK sababu hawakuwa na visasi vya ajabu so wanakua na maadui wachache. Sasa huyo jamaa yenu kagombana na Kila mtu kuanzia wapinzani, waandishi wa habari, mabeberu, NGOs, Walimu, watumishi wa umma, vijana wasio na ajira n.k ulidhani ata survive??
 
Umesahau,
pia aligombana na wapiga dili, vyeti feki, wanaofanya kazi kwa mazoea serikalini n.k
 
Umesahau,
pia aligombana na wapiga dili, vyeti feki, wanaofanya kazi kwa mazoea serikalini n.k
Kwanini mnapenda kujifichia kwenye mafanikio ya JPM pekee? Akilaumiwa kuminya katiba mnakimbilia kusema alijenga Barabara?? Sasa kutumbua vyeti feki Inahusiana nini na kupora Forex za watu? Au inahusiana nini na kuondoa pesa za serikali kwenye benki binafsi kwenda Bot ambako hazizai? Au inahusiana nini na kupora Hela za watu kupitia task force?
 
Tatizo liko wapi mzee wangu, c tunazungumzia kugombana au.?
 
Tatizo liko wapi mzee wangu, c tunazungumzia kugombana au.?
Mbona JK akitumia wapinzani hasa Zitto kung'oa mawaziri mizigo in fact baraza la mawaziri lilipanguliwa zaidi ya mara 7 from 2011 to 2015. Kuna wakati unaweza tumia siasa au diplomasia kufanya kazi bila kutengeneza maadui.

Sasa jamaa akawa anatake on Kila adui face to face..... Walipomjibu tu hakumaliza dakika!!!!
 
Nadhani Shujaa wa Nchi jirani anajulikana

Naibu Rais Gachagua amesema angekuwa yeye pale juu asingemlealea kabisa Raila Odinga na hata Uhuru Kenyatta analielewa hilo

Gachagua amesema ana vijana wa kutosha nyuma yake hivyo Raila aache upuuzi wa kuisumbua Serikali bila sababu za msingi

Mlale unono!
Peleka ujinga pale, munajifanya muko-advance, wa-Venezuela wakaingia kwenye Sarver ze IEBC wakacheza walivyochoka WAKANYA humo matokeo yake wakawapa RAISI mwizi makamu wake mwizi.... nchi inaendeshwa ki-matako matako... wanaogop nini hizo Server kufikiwa?
 
Watanzania na wakenya ni jamii ya watu wawili tofauti kabisa.Kenya maisha yao yanawafanya kuwa bitter,sisi maisha yetu yanatufanya kuwa wapole na wapenda utulivu na amani.

Ukitaka Kenya ivurugike basi Tumia nguvu kupitiliza,hayo maeneo ya sijui Kibra,kibera,Kisumu Yana watu wenye hasira na wakorofi kama nyoka wa Jangwani.

Raila ana wafuasi watiifu na hawana mpango na chama bali Kwao Raila ndio taa yao.Ukimweka Raila rumande gereza linachomwa moto.

Bahati mbaya Kenya hawana strong governance hii inatokana na serikali kuundwa Kwa vikundi vidogo vidogo na sio mifumo thabiti ndani ya vyama.Hivyo ndani ya serikali Kuna mitazamo tofauti yenye ukabili,ethnicity,selfishness.
 
Back
Top Bottom