Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
😆🤣🤣🤣Shujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.
Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.
Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?
Je kama ni Kagame au Museveni? Huyo wenu anatenda nini wakati hayupo?
Kagame=RwandaJe kama ni Kagame
Shujaa aliyelazwa na vidudu....Nadhani Shujaa wa Nchi jirani anajulikana
Naibu Rais Gachagua amesema angekuwa yeye pale juu asingemlealea kabisa Raila Odinga na hata Uhuru Kenyatta analielewa hilo
Gachagua amesema ana vijana wa kutosha nyuma yake hivyo Raila aache upuuzi wa kuisumbua Serikali bila sababu za msingi
Mlale unono!
Na vile vidudu havikumvumilia pia. Funza wakajipatia kwa mara ya kwanza steki ya Rais aliye madarakani..JPM alikuwa havumilii upuuzi, ushindwe uchaguzi alafu unaanza kusumbua nchi, ni bakora tu 😂
Sasa nani mshindi? Anayeliwa na funza au anayekula kitimoto na bia?Lkn cha moto mlikiona, wajanja wakabaki kuchangisha pesa ili waendelee kuishi ughaibuni huku wapumbavu wakidanganywa ni kwa ajili ya chama/kueneza maovu yanayofanywa na awamu ile
Ww nae nani mpka wasikilize simu yako? Maskini na hohehahe kama ww unaetafuta kula tu ufatiliwe!!Endelea kujitoa akili tuu ila wengi humu tunakumbuka, hata hii site ya JF iliuziwa kesi ya kuchonga ili ifungiwe, na tunakumbuka internet ilifungwa nchi nzima na simu zetu zikaanza kusikilizwa bila sababu ya msingi, labda kwako hiyo ndio haki na demokrasia
Tunahitaji sana vichaa kama Lema ili nchi iendelee.Shujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.
Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.
Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?
Mpaka leo humsikii akileta ule ujinga! Sasa Ruto aendelee kumchekea huyu mzee mpuuzi!Niliwahi kuona asikari wa Uganda wamerusha bomu la machozi kwenye gari la Kiza Besigye halafu wakabana milango ili asiweze kufungua. Mzee aliteseka mule anaachiwa katoka mule yuko hoi😀😀
Ila ka Jiwe kaliwanyorosha!Tunahitaji sana vichaa kama Lema ili nchi iendelee.
FIkra kinzani ni tunu kwa taifa lolote. Huwezi kujimilikisha nchi na watu ukawageuza mifugo
Wengine waligeuka misukule na tangu ameondoka wamegeuka zombiesIla ka Jiwe kaliwanyorosha!
Anayekula asali huku akiwa na maumivuSasa nani mshindi? Anayeliwa na funza au anayekula kitimoto na bia?
Umeona sasa Mungu alivyo mwema?Anayekula asali huku akiwa na maumivu
Nyie ndio mnateseka mana kila siku mnamsemaUmeona sasa Mungu alivyo mwema?
Ibilisi kadedi na wafuasi wake wanateseka vibaya....
Kwani sheria za Kenya zinasemaje kuhusu kinachoendelea? Je nguvu ni bora kuliko akili na hekima? Kwann Suleiman hakuomba kwanza nguvu ili atawale watu? Bali aliomba hekima?Nadhani Shujaa wa Nchi jirani anajulikana
Naibu Rais Gachagua amesema angekuwa yeye pale juu asingemlealea kabisa Raila Odinga na hata Uhuru Kenyatta analielewa hilo
Gachagua amesema ana vijana wa kutosha nyuma yake hivyo Raila aache upuuzi wa kuisumbua Serikali bila sababu za msingi
Mlale unono!
Hata shetani kila siku anasemwa makanisani na misikitini...Nyie ndio mnateseka mana kila siku mnamsema
Ht Yesu pia alisemwaHata shetani kila siku anasemwa makanisani na misikitini...
Mungu yu mwema daima
Yesu hasemwi. Anaabudiwa na kutukuzwa.Ht Yesu pia alisemwa
AsingeuawaYesu hasemwi. Anaabudiwa na kutukuzwa.
huyo magufuli ndio maana kwa ushenz na ushetan wake alikufa maana lilikua uwaji, tekaji, pigaji la risas na jambaz la kura.Shujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.
Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.
Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?
Ni kweli itakuwa RwandaJe kama ni Kagame au Museveni? Huyo wenu anatenda nini wakati hayupo?