Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
😆🤣🤣🤣Shujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.
Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.
Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?