Dawa ya Uvccm
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 2,223
- 4,717
wako ni nanWenu ndio nani?
Akayashinda mauti. Sasa mwambieni mungu wenu pale Chattle afufuke ili mtambe tena...Asingeuawa
Shujaa wa nchi ndiyo alikua anapenda majivuno na sifa na Wala sio mamaKwa hiyo mama Hajielewi?,Mm nna imani anajielewa ila tatizo lake anataka kufanya wajibu wake kwa majivuno na sifa yupo kama yule Beki wa simba mkongo.
huyo jpm alinshinda nani kama mtu alushindwa kumaliza kampen badala yake akageukia kuiba kura angemshinda nan alikuwa mpumbavu tu.JPM alikuwa havumilii upuuzi, ushindwe uchaguzi alafu unaanza kusumbua nchi, ni bakora tu 😂
kama nyie wapumbavu mliokuwa mnaimba magufuli tano tena huku kina bashite, sabaya na yule mzee kijana polepole wakipiga hela kwa mgongo wa kuunga juhudi wapinzan bure kabisa.Lkn cha moto mlikiona, wajanja wakabaki kuchangisha pesa ili waendelee kuishi ughaibuni huku wapumbavu wakidanganywa ni kwa ajili ya chama/kueneza maovu yanayofanywa na awamu ile
Sasa faida yake nini, mwishowe hivyo hivyo vitu vimempeleka kaburini mapema.Mifumo ilivyo tengenezwa hamna mkubwa wala mdogo-muoshwannaye huoshwa.Shujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.
Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.
Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?
chuma gani anakufa kipumbavu alikuwa mpumbavu hakuna chuma wala bibi yake na chuma na mpumbavu tu.Napata picha eti Mbowe anatangaza kila jumatatu ni national holiday kipindi cha Chuma hahahaha Kenya kuna ujinga sana
Hawa ndio tunaipenda katiba mpya yao? This is AfrikaNadhani Shujaa wa Nchi jirani anajulikana
Naibu Rais Gachagua amesema angekuwa yeye pale juu asingemlealea kabisa Raila Odinga na hata Uhuru Kenyatta analielewa hilo
Gachagua amesema ana vijana wa kutosha nyuma yake hivyo Raila aache upuuzi wa kuisumbua Serikali bila sababu za msingi
Mlale unono!
Haa a ha aShujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.
Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.
Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?
mpumbavu ni wewe usiyejielewa kama unafikir Ruto hayuko sahihi mpeleke mamako akawe Rais wa kenya ili matakwa yako yatekelezwe vinginevyo utabaki kubweka mitandaoni tu.Hvy ndivyo rais wa nchi anatakiwa awe, na sio kuwabembeleza wapumbavu linapokuja suala la usalama wa nchi
Muda wenu wa kujimwaya mwaya , Kwa huyó Mlitaka magufuli aishi milele muda wake ukifika kama wa kwako utakapofikachuma gani anakufa kipumbavu alikuwa mpumbavu hakuna chuma wala bibi yake na chuma na mpumbavu tu.
Viti maalum ChademaNi kweli sasa chadema hawana viti maalum (ingawa haya wanayasema hadharani) ila kwa ndani ukweli wa kina Mdee wanaujua wao. Miaka mingine yote chadema walikua wanahonga viti maalum kwa madem zao. Mbowe alimhonga kimada wake viti maalum, Lisu akampa dada yake viti maalum. Orodha inaenda mbali.
Hii ya kuhongana viti maalum chadema ni experts kwenye hilo.
Unatumia lugha ya viwango vya chini kabisa!Na vile vidudu havikumvumilia pia. Funza wakajipatia kwa mara ya kwanza steki ya Rais aliye madarakani..
Mtu yuko kizuizini unasema anakula kitimoto?!Sasa nani mshindi? Anayeliwa na funza au anayekula kitimoto na bia?
Ndesa alikufaje?chuma gani anakufa kipumbavu alikuwa mpumbavu hakuna chuma wala bibi yake na chuma na mpumbavu tu.
Demokrasia unaijua lakini?Sasa faida yake nini, mwishowe hivyo hivyo vitu vimempeleka kaburini mapema.Mifumo ilivyo tengenezwa hamna mkubwa wala mdogo-muoshwannaye huoshwa.
Unatakiwa u play smart,ukijifanyisha Nchi yako ni ya kidemocrasia afu ukaamua uipeleke ki dikiteta lazima upoteze.unabidi uchague mmoja kusuka au kunyoa
Niliwahi kuona asikari wa Uganda wamerusha bomu la machozi kwenye gari la Kiza Besigye halafu wakabana milango ili asiweze kufungua. Mzee aliteseka mule anaachiwa katoka mule yuko hoi[emoji3][emoji3]
Utajua wewe wachambuzi tushamalizaShujaa wa nchi ndiyo alikua anapenda majivuno na sifa na Wala sio mama
Sasa hiki ni nini umeandika? Heshima muhimu sana. 🙏🙏🙏Lakini ndio hawezi sasa kabaki kula kungumanga ili macho yalegee.