Naibu Rais Gachagua asema Ruto ni mpole sana angekuwa yeye pale juu angetenda kama Shujaa wa Nchi jirani!

Naibu Rais Gachagua asema Ruto ni mpole sana angekuwa yeye pale juu angetenda kama Shujaa wa Nchi jirani!

Kwa hiyo mama Hajielewi?,Mm nna imani anajielewa ila tatizo lake anataka kufanya wajibu wake kwa majivuno na sifa yupo kama yule Beki wa simba mkongo.
Shujaa wa nchi ndiyo alikua anapenda majivuno na sifa na Wala sio mama
 
Lkn cha moto mlikiona, wajanja wakabaki kuchangisha pesa ili waendelee kuishi ughaibuni huku wapumbavu wakidanganywa ni kwa ajili ya chama/kueneza maovu yanayofanywa na awamu ile
kama nyie wapumbavu mliokuwa mnaimba magufuli tano tena huku kina bashite, sabaya na yule mzee kijana polepole wakipiga hela kwa mgongo wa kuunga juhudi wapinzan bure kabisa.
 
Shujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.

Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.

Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?
Sasa faida yake nini, mwishowe hivyo hivyo vitu vimempeleka kaburini mapema.Mifumo ilivyo tengenezwa hamna mkubwa wala mdogo-muoshwannaye huoshwa.

Unatakiwa u play smart,ukijifanyisha Nchi yako ni ya kidemocrasia afu ukaamua uipeleke ki dikiteta lazima upoteze.unabidi uchague mmoja kusuka au kunyoa
 
Gachagua ni kiongozi duni sana hutarajii angeongoza nchi sema ndohivyo afrika mtu unajaribu tuu unajikuta kileleni kama kubet
 
Napata picha eti Mbowe anatangaza kila jumatatu ni national holiday kipindi cha Chuma hahahaha Kenya kuna ujinga sana
chuma gani anakufa kipumbavu alikuwa mpumbavu hakuna chuma wala bibi yake na chuma na mpumbavu tu.
 
Nadhani Shujaa wa Nchi jirani anajulikana

Naibu Rais Gachagua amesema angekuwa yeye pale juu asingemlealea kabisa Raila Odinga na hata Uhuru Kenyatta analielewa hilo

Gachagua amesema ana vijana wa kutosha nyuma yake hivyo Raila aache upuuzi wa kuisumbua Serikali bila sababu za msingi

Mlale unono!
Hawa ndio tunaipenda katiba mpya yao? This is Afrika
 
Shujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.

Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.

Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?
Haa a ha a
 
Hvy ndivyo rais wa nchi anatakiwa awe, na sio kuwabembeleza wapumbavu linapokuja suala la usalama wa nchi
mpumbavu ni wewe usiyejielewa kama unafikir Ruto hayuko sahihi mpeleke mamako akawe Rais wa kenya ili matakwa yako yatekelezwe vinginevyo utabaki kubweka mitandaoni tu.
 
Ni kweli sasa chadema hawana viti maalum (ingawa haya wanayasema hadharani) ila kwa ndani ukweli wa kina Mdee wanaujua wao. Miaka mingine yote chadema walikua wanahonga viti maalum kwa madem zao. Mbowe alimhonga kimada wake viti maalum, Lisu akampa dada yake viti maalum. Orodha inaenda mbali.

Hii ya kuhongana viti maalum chadema ni experts kwenye hilo.
Viti maalum Chadema

Lisu kampa dada yake

Zitto kampa dada yake

Ndesa kampa mwanae

Ndesa kampa mkwewe

Mbowe kampa naniliu

Dr Slaa kampa mkewe

Marando kampa shemeji

Orodha ni ndefu
 
Sasa faida yake nini, mwishowe hivyo hivyo vitu vimempeleka kaburini mapema.Mifumo ilivyo tengenezwa hamna mkubwa wala mdogo-muoshwannaye huoshwa.

Unatakiwa u play smart,ukijifanyisha Nchi yako ni ya kidemocrasia afu ukaamua uipeleke ki dikiteta lazima upoteze.unabidi uchague mmoja kusuka au kunyoa
Demokrasia unaijua lakini?
 
Niliwahi kuona asikari wa Uganda wamerusha bomu la machozi kwenye gari la Kiza Besigye halafu wakabana milango ili asiweze kufungua. Mzee aliteseka mule anaachiwa katoka mule yuko hoi[emoji3][emoji3]

Nimejikuta nacheka pekee angu hii post, this is Africa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom