JPM angekuwepo mpaka leo hii, bc mashimo yenu yote mwilini yangekuwa yamepanuliwampumbavu ni wewe usiyejielewa kama unafikir Ruto hayuko sahihi mpeleke mamako akawe Rais wa kenya ili matakwa yako yatekelezwe vinginevyo utabaki kubweka mitandaoni tu.
Hawataki kukubali hilo mkuu.Viti maalum Chadema
Lisu kampa dada yake
Zitto kampa dada yake
Ndesa kampa mwanae
Ndesa kampa mkwewe
Mbowe kampa naniliu
Dr Slaa kampa mkewe
Marando kampa shemeji
Orodha ni ndefu
Wewe ambaye hutokufa,na kwenye ukoo wenu hakuna kabuli,HUYO SHUJAA WA NCHI JIRANI USHUJAA WAKE UMEMLAZA CHATO
Jk alitumia hadi mabomu!Awamu ya 5 ilijipandisha hadhi hadi kufikia kwenye kiti cha enzi cha ushetani wa watawala wa kiafrika. Mitetemo ya watu ndiyo ilileta furaha kwa bwana yule. Alikuwa anachukia sana akikutana na watu wenye kujiamini.
Wakati watu wote wakiwa wanatetema kama Mayelle zama hizi, alitokea mtu mmoja asiye mnafiki na akasema, nchi inaendeshwa na Dikteta Uchwara. Jamaa alivurugikiwa hadharani kwa hasira baada ya kugundua kwamba kuna mtu mnyoofu asiyemuabudu wala kutetema kama kuti la Mnazi kwa woga.
Si useme tu alikubutua?He is dead for good
Acheke na kima wamzuie kukwapua 1.5 trilion?
Azuiwe kuficha pesa uchina?
Azuiwe kununua ndege chakavu kwa bei zaidi ya mpya?
MUNGU kamfyekelea mbali
Kifo cha heshima ni kipi?Na mwishowe akafa kifo Cha aibu. Malipo ni hapa hapa duniani.
Vipi yale machadema yaliyouawa na bomu pale soweto arusha?Lissu alimiminiwa risasi mchna kweupe Tena jirani na nyumba ya waziri. Kuhusu mwangosi aliyefyatua bomu alishtakiwa.
Mkuu umenivunja mbavu sana....hiyo stori ni kweli ama umetunga tuNiliwahi kuona asikari wa Uganda wamerusha bomu la machozi kwenye gari la Kiza Besigye halafu wakabana milango ili asiweze kufungua. Mzee aliteseka mule anaachiwa katoka mule yuko hoi😀😀
Kwa comments za watu nabaki naangalia jinsi Watanzania walivyo na akili mfu.Nadhani Shujaa wa Nchi jirani anajulikana
Naibu Rais Gachagua amesema angekuwa yeye pale juu asingemlealea kabisa Raila Odinga na hata Uhuru Kenyatta analielewa hilo
Gachagua amesema ana vijana wa kutosha nyuma yake hivyo Raila aache upuuzi wa kuisumbua Serikali bila sababu za msingi
Mlale unono!
Kwa kweli sisi watu wema tuliogofywa na ukatili wa yule jamaa yenu. Yaani alielekeza Askari Magereza kuwatesa wafungwa na eti polisi wakikamata Gari kwenye Barabara ya Mwendo kasi waling'oe Tairi. unakumbuka yale maelekezo kwa polisi kuwa wachukue hela ya kubrashia viatu??Jk alitumia hadi mabomu!
Kuna machadema 5 yalikufa kwa bomu la kurushwa kwa mkono kwenye mkutano wao pale soweto arusha
Sure hii kitu ilitokea live kwenye maandamano 2019 Besigye akiwa NambooleMkuu umenivunja mbavu sana....hiyo stori ni kweli ama umetunga tu
unajua watu kutofanana ni maumbile. Inakuwaje mtu utake kumtoa mtu roho kwa kuwa tu anatofautiana naye mawazo??Sure hii kitu ilitokea live kwenye maandamano 2019 Besigye akiwa Namboole
Hii ndo Afrikaunajua watu kutofanana ni maumbile. Inakuwaje mtu utake kumtoa mtu roho kwa kuwa tu anatofautiana naye mawazo??
Raila hatakiwi kuchekewa chekewa.Nadhani Shujaa wa Nchi jirani anajulikana
Naibu Rais Gachagua amesema angekuwa yeye pale juu asingemlealea kabisa Raila Odinga na hata Uhuru Kenyatta analielewa hilo
Gachagua amesema ana vijana wa kutosha nyuma yake hivyo Raila aache upuuzi wa kuisumbua Serikali bila sababu za msingi
Mlale unono!
Hii kitu imenikumbusha uchaguz wa 2005 hapa bongo. Jamaa walileta vurugu halafu wakakimbilia kwenye chumba kimoja wakajifungia, police nao hawakuwa nyuma sana walivoona jamaa hawatak kufungua mlango wakaamua kuwapitishia bomu la machozi dirishani na baada ya dakka tano walifungua mlango bila kupendaSure hii kitu ilitokea live kwenye maandamano 2019 Besigye akiwa Namboole
Sukuma gang mnateseka sanaShujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.
Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.
Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?
Sukuma gang mnateseka mkiwa wapi?Lakini ndio hawezi sasa kabaki kula kungumanga ili macho yalegee.
Ndo maana wakamuua maana alikua analeta ujinga utadhani nchi mali yake.Napata picha eti Mbowe anatangaza kila jumatatu ni national holiday kipindi cha Chuma hahahaha Kenya kuna ujinga sana