Naibu Rais Gachagua asema Ruto ni mpole sana angekuwa yeye pale juu angetenda kama Shujaa wa Nchi jirani!

Naibu Rais Gachagua asema Ruto ni mpole sana angekuwa yeye pale juu angetenda kama Shujaa wa Nchi jirani!

Viti maalum Chadema

Lisu kampa dada yake

Zitto kampa dada yake

Ndesa kampa mwanae

Ndesa kampa mkwewe

Mbowe kampa naniliu

Dr Slaa kampa mkewe

Marando kampa shemeji

Orodha ni ndefu
Hawataki kukubali hilo mkuu.

Chadema hupeana vyeo kwa undugu, ukabila na mahusiano ya kimapenzi.

Kwa wanawake wengi wanaopewa viti maalum chadema, 98% hua ni michepuko ya viongozi na wanaobaki ndugu wa viongozi.
 
Awamu ya 5 ilijipandisha hadhi hadi kufikia kwenye kiti cha enzi cha ushetani wa watawala wa kiafrika. Mitetemo ya watu ndiyo ilileta furaha kwa bwana yule. Alikuwa anachukia sana akikutana na watu wenye kujiamini.

Wakati watu wote wakiwa wanatetema kama Mayelle zama hizi, alitokea mtu mmoja asiye mnafiki na akasema, nchi inaendeshwa na Dikteta Uchwara. Jamaa alivurugikiwa hadharani kwa hasira baada ya kugundua kwamba kuna mtu mnyoofu asiyemuabudu wala kutetema kama kuti la Mnazi kwa woga.
Jk alitumia hadi mabomu!

Kuna machadema 5 yalikufa kwa bomu la kurushwa kwa mkono kwenye mkutano wao pale soweto arusha
 
Nadhani Shujaa wa Nchi jirani anajulikana

Naibu Rais Gachagua amesema angekuwa yeye pale juu asingemlealea kabisa Raila Odinga na hata Uhuru Kenyatta analielewa hilo

Gachagua amesema ana vijana wa kutosha nyuma yake hivyo Raila aache upuuzi wa kuisumbua Serikali bila sababu za msingi

Mlale unono!
Kwa comments za watu nabaki naangalia jinsi Watanzania walivyo na akili mfu.
Tusi limetukanwa wenyewe mnaligombania mkiona sifa.
Rwanda, Uganda, Burundi hizo zote ni nchi jirani na hizo hazivumilii wapinzani na wala hazicheki nao. Hapa naona watanzania nanyi mnaigombania hiyo sifa, mnajihisi hiyo ni sifa anayostahili hasa aliyekua rais wenu.
 
Jk alitumia hadi mabomu!

Kuna machadema 5 yalikufa kwa bomu la kurushwa kwa mkono kwenye mkutano wao pale soweto arusha
Kwa kweli sisi watu wema tuliogofywa na ukatili wa yule jamaa yenu. Yaani alielekeza Askari Magereza kuwatesa wafungwa na eti polisi wakikamata Gari kwenye Barabara ya Mwendo kasi waling'oe Tairi. unakumbuka yale maelekezo kwa polisi kuwa wachukue hela ya kubrashia viatu??

Hivi mtu wa namna hii mnatakaje watu tuone kwamba alikuwa mwema!!??
 
Yaani ukiishiwa hoja ni tabu sana, badala ya kujibu hoja unatafuta kuzima hoja kwa ukatili,
mbinu hii haijawahi kufanikiwa popote zaidi zaidi huumiza wengi bahati mbaya zaidi humumiza mpaka anayejaribu kuitumia.

Sent from my Infinix X6817 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani Shujaa wa Nchi jirani anajulikana

Naibu Rais Gachagua amesema angekuwa yeye pale juu asingemlealea kabisa Raila Odinga na hata Uhuru Kenyatta analielewa hilo

Gachagua amesema ana vijana wa kutosha nyuma yake hivyo Raila aache upuuzi wa kuisumbua Serikali bila sababu za msingi

Mlale unono!
Raila hatakiwi kuchekewa chekewa.

Hiyo nadhiri yake ya kutaka kuwa rais wa Kenya kabla hajafa haitatimia kamwe. Wakenya watapata madhara sana hasa wale wajinga wanaomshabikia Raila. Uchumi ukiporomoka hauchagui.


Haiwezekani katika nchi yeye Raila pekee ndiyo mwamuzi wa kipi haki na kipi sahihi wengine wote ikiwemo vyombo vilivyowekwa na katiba havijui.

INiliwahi kusema humu kuwa, Kenyatta kwa kuwa sasa ana uswahiba na Raila amueleze Raila hadharani sasa kama uchaguzi wa mwaka 2017 na 2012 alimuibia kura ili tupime maneno ya Raila vizuri
 
Sure hii kitu ilitokea live kwenye maandamano 2019 Besigye akiwa Namboole
Hii kitu imenikumbusha uchaguz wa 2005 hapa bongo. Jamaa walileta vurugu halafu wakakimbilia kwenye chumba kimoja wakajifungia, police nao hawakuwa nyuma sana walivoona jamaa hawatak kufungua mlango wakaamua kuwapitishia bomu la machozi dirishani na baada ya dakka tano walifungua mlango bila kupenda
 
Shujaa wa nchi jirani ni Hayati Dr. John Joseph Pombe Magufuli.

Magufuli alikua hacheki na kima, anajua ukicheka na kima utavuna mabua.

Mfano, kiongozi unaejielewa ukae unacheka cheka na vichaa kama Lema unategemea hiyo itakua nchi ama danguro?
Sukuma gang mnateseka sana
 
Namuunga mkono .

Ningekua Mimi ndo Rais wa Kenya niliyeapa kuilinda Kenya na watu wake sio kulinda maandamano ya kijinga hakika ningewanyoosha .

Ningefanya yafuatayo:-
Ningepunguza matumizi ya serikali Kwa asilimia 50.
Ningetengeneza mbinu za kijanja za kuhakikisha Vijana wa Chama chake wanaandamana na kwenda kupora Mali zote za Uhuru na Raila na kuzigawana na waandamanaji wengine wanaotaka kuandamana kwenda kugawana Mashamba ingekua wanakatazwa kisanii lakini hawapigwi risasi mana Wana haki ya kuandamana .

Jeshi lingeanzisha Operation ya kushirikiana na Polisi kudhibiti makazi ya Viongozi wote wanaochochea maandamano ya kihuni.

Mwisho kabisa ningehakikisha naongoza Kwa uadilifu kama Malaika na kujenga serikali ya uadilifu Kwa kiwango ambacho fisadi yeyote angekula shaba ikiwemo Raila na mhuni yeyote.

Nchi za Kiafrika bila kuwapiga risasi wahuni basi wahuni wanageuka na kugawana Rasilimali za nchi na hata kutumiwa na wezi na mashoga kutoka nchi za magharibi kuleta vurugu.

Dawa ni kuwadhibiti wahuni na familia zao. Kabla wanyonge hawajapoteza maisha nahakikisha wahuni wameshalazwa flati.

Kenya acheni vurugu mnaua Taifa lenu kama walivyodanganywa Wasomali mpaka Leo wazungu na Demokrasia yao haijaisaidia Tena Somalia.
 
Back
Top Bottom