Anther stupid coment from a stupid politician. Mabenki na Mitandao ya simu wameinvest kwenye hizo infrastucture wana haki ya kucharge gharama hizo kupe na mshenzi hapa ni Serikali ambayo hamna ilichowekeza ila inataka pasu kwa pasu tena saa ingine makato ya serikali ni makubwa kuliko ya benki au kampuni ya simu.Baada ya Serikali kutangaza kufuta baadhi ya Tozo za miamala ya Kieletroniki, Naibu Spika Mussa Zungu amesema Serikali iangalie namna ya kupunguza makato yanayokatwa na Mabenki na Kampuni za Simu kwasababu yanazidi Tozo zinazochukuliwa na Serikali.
Zungu amesema wananchi wengi hawatazami mapato yanayokatwa na Benki na Kampuni za Simu lakini wanailaumu Serikali inayojenga Vituo vya Afya na Madarasa na hivyo itafutwe namna ya kudhibiti mapato ya taasisi hizo na kupunguza gharama za makato.
Nchi ina watu wa ajabu Sana hii,Duh, anasahau hao makapuni yanalipa kodi wanazonunulia mashangangia na hilo joho alilovaa hapo. Yeye anawaza zahanati na madara tu khaa.
Unamlaumu Joni au Zungu?Joni magufuli alisema yafuatayo ,nataka Bunge lote liwe la chama kimoja ili tupate maendeleo 🚮🚮🚮yaani watanzania mlichokuwa mnataka ndio hicho tunakatiba iliyopitwa na wakati yaani kuwa mbunge ujue kusoma na kuandika ,Leo inapelekwa miswaada Kwa lugha ya kiingereza ,wenyeviti wa kamati ni form two ,yaani nchi imejaaa uhuni na uwendawazimu wale chawa wanashangilia