Kwani mnatumia vigezo gani?Pale Mbeya mjini asijisumbue ...mtu mwenye flat screen nyuma naye anautaka ubunge.
Sugu hana shida,yeye ni rais wa Mbeya.Sugu hapo shuzi limeshabana
Huyu ndie the next speaker kwa mujibu wa bandiko hiliNaibu Spika wa Bunge la Dkt. Tulia Ackson ameweka wazi nia ya kugombea Ubunge japokuwa hajawekwa wazi jimbo ambalo atagombea
Naibu huyo amesema atatoa taarifa kuhusu Jimbo hilo muda utakapofika. Dk. Tulia amekuwa Naibu Spika tangu mwaka 2015
Akitaka aibu, agombee kwa Sugu!Naibu Spika wa Bunge la Dkt. Tulia Ackson ameweka wazi nia ya kugombea Ubunge japokuwa hajawekwa wazi jimbo ambalo atagombea
Naibu huyo amesema atatoa taarifa kuhusu Jimbo hilo muda utakapofika. Dk. Tulia amekuwa Naibu Spika tangu mwaka 2015
Vipi sheria ya kutengeneza mabeberu wa madaraka tunamwaga lini wino?Huyu ndie the next speaker kwa mujibu wa bandiko hili
Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Akson ndie Spika ajae! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
P
Ok.. Sugu kumbe ana tv ya chogoMtu mwenye flat screen akagombee ubunge?