Uchaguzi 2020 Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson atangaza nia ya kugombea Ubunge Mbeya

Uchaguzi 2020 Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson atangaza nia ya kugombea Ubunge Mbeya

Anazuga kutotangaza Jimbo sahivi wakati miaka yote anazurula Mbeya mjini na rushwa zake za hapa na pale.....anaenda kuaibika
 
Kwa taarifa hii, kuna mh mbunge atarudi kwenye muziki wakati yawezekana tayari muziki haumuhitaji kwa sasa
 

Naibu Spika wa Bunge la Dkt. Tulia Ackson ameweka wazi nia ya kugombea Ubunge Mbeya japokuwa hajaweka wazi jimbo atakalogombea

Naibu huyo amesema atatoa taarifa kuhusu Jimbo hilo muda utakapofika. Dk. Tulia aliteuliwa kuwa Mbunge wa Viti Maalum na Rais Magufuli Novemba 16, 2015

Alichaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge Novemba 19, 2015
Karibu Jimboni Mbeya. Wananchi Wana hamunya Maendeleo.
 
Back
Top Bottom