I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Wananchi wake wana hasara kubwa.Amekua mtetezi wa serikali
Akalee wajukuu. Umri umemtupa mkono!! Yeye mwenyewe yuko hapo kwa hongo."Wananchi wengi wanalalamikia kodi iliyowekwa na Serikali, hawatizami mapato yanayokatwa na benki, hawatizami mapato yanayokatwa na kampuni za simu. Lazima iwe regulated [idhibitiwe].”
"Benki unatuma pesa wanachukua pesa nyingi zaidi ya Serikali kwa asilimia kubwa sana, lakini Serikali inayojenga madarasa ndiyo inalaumiwa. Kwa hiyo kuna kizingiti ambacho kinatengenezwa kuipiga dongo Serikali wakati pesa wanachukua watu wengine."
-Naibu Spika Mussa Zungu.
"Wananchi wengi wanalalamikia kodi iliyowekwa na Serikali, hawatizami mapato yanayokatwa na benki, hawatizami mapato yanayokatwa na kampuni za simu. Lazima iwe regulated [idhibitiwe].”
"Benki unatuma pesa wanachukua pesa nyingi zaidi ya Serikali kwa asilimia kubwa sana, lakini Serikali inayojenga madarasa ndiyo inalaumiwa. Kwa hiyo kuna kizingiti ambacho kinatengenezwa kuipiga dongo Serikali wakati pesa wanachukua watu wengine."
-Naibu Spika Mussa Zungu.
Huo mshahara tunaouweka benki tayari serikali ameshachukua mgao wake. Hizo pesa ambazo benki anakata kufidia gharama za kukutunzia pesa zako, serikali itapata mgao wake. Nikitoa pesa ili nikanunue kitu, serikali ina mgao wake. Sasa huyu anaionea wivu benki ambayo inatoa huduma wakati tunalipa kodi serikalini ili ijenge hayo madarasa!"Wananchi wengi wanalalamikia kodi iliyowekwa na Serikali, hawatizami mapato yanayokatwa na benki, hawatizami mapato yanayokatwa na kampuni za simu. Lazima iwe regulated [idhibitiwe].”
"Benki unatuma pesa wanachukua pesa nyingi zaidi ya Serikali kwa asilimia kubwa sana, lakini Serikali inayojenga madarasa ndiyo inalaumiwa. Kwa hiyo kuna kizingiti ambacho kinatengenezwa kuipiga dongo Serikali wakati pesa wanachukua watu wengine."
-Naibu Spika Mussa Zungu.
Kuna wabunge hapa bongo ni mattercall tuHuyu bepari aache ujinga. Wakati Bank/kampuni za simu zinajipangia hizo fees Bunge na Serikali walikuwa wamechapa usingizi wa pono?
Aisee....ngoja nikae kimya...."Wananchi wengi wanalalamikia kodi iliyowekwa na Serikali, hawatizami mapato yanayokatwa na benki, hawatizami mapato yanayokatwa na kampuni za simu. Lazima iwe regulated [idhibitiwe].”
"Benki unatuma pesa wanachukua pesa nyingi zaidi ya Serikali kwa asilimia kubwa sana, lakini Serikali inayojenga madarasa ndiyo inalaumiwa. Kwa hiyo kuna kizingiti ambacho kinatengenezwa kuipiga dongo Serikali wakati pesa wanachukua watu wengine."
-Naibu Spika Mussa Zungu.
Magufuli alimtumbuaHuyu kweli kashiba na hawajuwi wenye njaa
Ova
Mweupe kama akili yake ilivyo!
uyu kweli hana akili japokuwa mtu mzima je pesa inayochukua benki haina vat haikatwi kodi je pesa iyo ambayo ni kodi je haijengi madarasa hawa watu wanafikiri kutumia nini hawa 😭"Wananchi wengi wanalalamikia kodi iliyowekwa na Serikali, hawatizami mapato yanayokatwa na benki, hawatizami mapato yanayokatwa na kampuni za simu. Lazima iwe regulated [idhibitiwe].”