Naibu Spika Zungu anapolalamika kuwa makampuni ya simu na mabenki yanawatoza wateja pesa nyingi, je anajua gharama za uendeshaji wa makampuni hayo?

Kwanini benki zinakata monthly charges wakati kila muamala wanakata chao?
 
Actually Yuko sahihi kwamba kuna haja ya kufanya review ya bei za huduma hasa za kutuma na kutoa hela kwa simu kama zinaendana na uhalisia. Shida ni nia ya mtoa hoja. Angekuwa ameileta kutetea walaji tungemuunga mkono, lakini kusema wanapata zaidi ya serikali ni kama wivu wa Yanga Kwa CAF.
 
Hakuna anayejitambua humo Bungeni, ipo haja kufanya cleaning kwa steel wool na msasa ikibidi by 2025
 
Hakuna anayejitambua humo Bungeni, ipo haja kufanya cleaning kwa steel wool na msasa ikibidi by 2025
Nakuubga mkono kwa asilimia 100.

Hao wabunge, ambao wote ni wa CCM, ni wwupe kabisa
 
Zungu kama jina lake kuna cha kujifunza kwenye teuzi zetu. Waliwaacha vijana wenye akili wakamuweka mtu ambaye wanamjuwa. Wacha wayaone wenyewe
 
Kaua watu kwa sembe anataka kuua tena kwa tozzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…