Naibu wa Rais Rigathi Gachagua ametoa onyo kali kwa Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga

Ww odinga sio lisu au mbowe sawa? Odinga hakugusiki na ukijaribu kufanya hivo utaigawa Kenya vipande kwa machafuko ya kutisha..huyo mzee muone tu hivo ila hata hao kina wanajua nguvu zake
Kama ni kweli angekuwa Rais wa Kenya mda mrefu, kwanini kila siku wana mzidi ujanja wengine?
 
Sasa mbona kabow down na kuomba wakae mezani? Si angetumia sasa hayo madaraka yake.Hivi unamchukulia poa mtu mwenye wafuasi zaidi ya 6M? Usidhani Ruto ni mjinga kuomba wakae mezani
Mkisha kaa mezani ndio Odinga anakuwa Rais wa Kenya? busara tu imetumika ila Odinga kila siku anazidiwa ujanja na vijana
 
Hao viongozi wanaowashawishi muandamane wakiwepo mbele ya maandamano bc ht Mm ntaandamana
Unadhani hata viongozi wanaomtaka RAO asiendeleze maandamano,watakubalí wao wawe mbele?
Wapinzani wanawatanguliza raia mbele na viongozi wa serikali wanatanguliza polisi mbele,humuoni Ruto wala RAO.
 
Bc n bora niwe mpole kuliko kupambana ili mwngn apate kushiba
 
Unadhani Odinga ana njaa au Ruto ana njaa?
Wewe ambaye unaambiwa uandamane ndiye unayefaitiwa,wenzako hao hata wakitaka wale kuku kila siku wanakula,wewe ambaye kilo ya mchele ni 3500/= ndiye unayefaitiwa bei ishuke,wewe ambaye unakatwa kodi halafu wanasiasa wachache wanna over-invoice,ndiye unayefaitiwa,au unadhani pesa za umma(ambao nawewe ni mmoja wapo),zinapoligwa,unadhani wewe au ndugu zako hawaathiriki?
Amka ndugu amka,amsha na akili.
 
Ww uliyeamka umefanya nini.?
 
Back
Top Bottom