ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Kama ni kweli angekuwa Rais wa Kenya mda mrefu, kwanini kila siku wana mzidi ujanja wengine?Ww odinga sio lisu au mbowe sawa? Odinga hakugusiki na ukijaribu kufanya hivo utaigawa Kenya vipande kwa machafuko ya kutisha..huyo mzee muone tu hivo ila hata hao kina wanajua nguvu zake
Mkisha kaa mezani ndio Odinga anakuwa Rais wa Kenya? busara tu imetumika ila Odinga kila siku anazidiwa ujanja na vijanaSasa mbona kabow down na kuomba wakae mezani? Si angetumia sasa hayo madaraka yake.Hivi unamchukulia poa mtu mwenye wafuasi zaidi ya 6M? Usidhani Ruto ni mjinga kuomba wakae mezani
Ok BossMkisha kaa mezani ndio Odinga anakuwa Rais wa Kenya? busara tu imetumika ila Odinga kila siku anazidiwa ujanja na vijana
Unadhani hata viongozi wanaomtaka RAO asiendeleze maandamano,watakubalí wao wawe mbele?Hao viongozi wanaowashawishi muandamane wakiwepo mbele ya maandamano bc ht Mm ntaandamana
Bc n bora niwe mpole kuliko kupambana ili mwngn apate kushibaUnadhani hata viongozi wanaomtaka RAO asiendeleze maandamano,watakubalí wao wawe mbele?
Wapinzani wanawatanguliza raia mbele na viongozi wa serikali wanatanguliza polisi mbele,humuoni Ruto wala RAO.
Unadhani Odinga ana njaa au Ruto ana njaa?Bc n bora niwe mpole kuliko kupambana ili mwngn apate kushiba
Ww uliyeamka umefanya nini.?Unadhani Odinga ana njaa au Ruto ana njaa?
Wewe ambaye unaambiwa uandamane ndiye unayefaitiwa,wenzako hao hata wakitaka wale kuku kila siku wanakula,wewe ambaye kilo ya mchele ni 3500/= ndiye unayefaitiwa bei ishuke,wewe ambaye unakatwa kodi halafu wanasiasa wachache wanna over-invoice,ndiye unayefaitiwa,au unadhani pesa za umma(ambao nawewe ni mmoja wapo),zinapoligwa,unadhani wewe au ndugu zako hawaathiriki?
Amka ndugu amka,amsha na akili.
Kuna mijitu mipumbavu saana JF. Nyie ndo mnapaswa kupewa kipigo heavyOdinga ni mmoja wa viongozi wajinga, anahitaji kipigo ili apate akili timamu.
Sasa ww sio kupewa kipigo tuu, ww inabidi wakubake kabisaKuna mijitu mipumbavu saana JF. Nyie ndo mnapaswa kupewa kipigo heavy