Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Atakuwa amekamata kichwa KAUMBA.....
acha aibiwe tu ngoja niende eneo la tukio kama bado yupo sasa hivi

Mkubwa!

Ukimkuta bado ana taulo yake kiunoni ikiwezekana mflash chap na uangushe humu hilo tawi la Ufisadi!
 
Nimeconfirm na kijana mmoja kwenye hiyo hotel ni kweli alilala hapo tangu juzi kwenye chumba cha exctv suite sh 400000 kwa siku tangu jana alirudi usiku kutoka club na dada mweupe mrefu na asbh kaamka kajikuta hana hata chupi katoka na taulo kiunoni!!hawa dada zetu wa club cjui vp amemkomba kila kitu waziri ni aibu Mkuu wa mkoa alienda kuokoa jahazi
Duh! Haya mambo bwana..... yanaweza mkuta mwanaume yeyote ....!
 
Kazi ya kufukua tiGo si ndogo dada angu jamaa kafukua mpaka akauchapa usingizi huyo dada akaamua wagawane umasikini
 
Habari zilizopatikana sasa hivi zinasema Naibu Waziri Adamu Malima ameibiwa kila kitu ktk hoteli ya Loshera mjini Morogoro. Hadi sasa bado yuko ndani ya chumba cha hiyo hoteli hajatoka nje. Inasemekana hata nguo alizoavaa amesaidiwa tu na wasamaria wema.

Yaleyale ya mawaziri kuendelea kuumbuka ugenini!

Manjagy bado yanafuatilia issue hii nzima!

Source: Radio One, muda 13:14 pm
........du, pole zake, hii ndio hasara ya kuchukua mizigo (wanawake) hovyo hovyo!
 
Kazi ya kufukua tiGo si ndogo dada angu jamaa kafukua mpaka akauchapa usingizi huyo dada akaamua wagawane umasikini

Mkuu siku hizi wanaweka mambo kwenye shakula ya mtoto, ukijifanya kula ile shakula tu basi hata huwezi kugonga wanajichukulia kwa ubuuuwa na unakuwa kama umepewa dawa ya usingizi kabla ya kufanyiwa upasuaji. Utalala wewe masaa zaidi ya kumi. Nina shaka kama alishtuka mwenyewe ama walienda kumgongea baada ya kuonahatoki. Wakome!
 
Nimeconfirm na kijana mmoja kwenye hiyo hotel ni kweli alilala hapo tangu juzi kwenye chumba cha exctv suite sh 400000 kwa siku tangu jana alirudi usiku kutoka club na dada mweupe mrefu na asbh kaamka kajikuta hana hata chupi katoka na taulo kiunoni!!hawa dada zetu wa club cjui vp amemkomba kila kitu waziri ni aibu Mkuu wa mkoa alienda kuokoa jahazi

Hebu rudia tena habo pekundu...
 
Duh! Haya mambo bwana..... yanaweza mkuta mwanaume yeyote ....!

Ni kweli inaweza mkuta yeyote. Tofauti ni jinsi kila mtu anavolishughulikia hilo soo.

Malima ameshindwaje kuhandle hili swala lisijulikane? Kashindwa kumuita hata mhudumu wa kiume na kumuweka sawa amsetiri na nguo zake? Maanake baada ya kukuta kaibiwa, angetakiwa afikirie ni namna gani atakwepesha aibu kwa Serikali... Badala yake inaonekana alichanganyikiwa na mpaka akakutwa. Na sasa ni habari inayojulikana kitaifa.

Swali langu. Kama mtu anashindwa ku-handle mambo yake binafsi, atawezaje kuongoza wizara nyeti kama ya Nishati na Madini.
 
Hiyo hotel inaitwa NASHERA HOTEL,iko boma road ni mpya imefunguliwa haina ata mwaka, chumba kulala ni laki na nusu hadi laki 3, inasemekana ni mutu mukubwa wa NSSF,pole sana mkuu
 
Habari zilizopatikana sasa hivi zinasema Naibu Waziri Adamu Malima ameibiwa kila kitu ktk hoteli ya Loshera mjini Morogoro. Hadi sasa bado yuko ndani ya chumba cha hiyo hoteli hajatoka nje. Inasemekana hata nguo alizoavaa amesaidiwa tu na wasamaria wema.

Yaleyale ya mawaziri kuendelea kuumbuka ugenini!

Manjagy bado yanafuatilia issue hii nzima!

Source: Radio One, muda 13:14 pm

muda 13:14 pm ndo nini,yaan umemaliza mpaka chuo kuandika muda ni mgogoro,pepa lako la form 4 akilipata Dr.Ndalichako lazima akufutie matokeo!
 
kama haya niyakweli anatakiwa kuresign mara moja . lakini kutakana na tabia yabwana mkubwa kunyamaza nahili nalo litapita kimya kimya.

My take home message, please Hor Malima you should resign.
 
Kama namuona na Taulo kiunoni! Akitweta kwa hasira bila ya miwani duuuh natumaini wamemchapa BLING BLING zake bila kusahau MAPETE yake ya SHEIKH YAHYA! Wapi GOSSIP COP Soud Brown... Mnaonaaaaaa utaaaaaamu!
 
Unajua nini kimefanyika hapa, yule mdada aliyekuwa naye kama hakumuwekea madawa ya kulevya kwenye kinywaji basi kapakaa kwenye mati** na wanaume wanavyopenda kunyonya na kulamba kila mahali basi malima ikawa kwisha habari yake.
 
Nimeconfirm na kijana mmoja kwenye hiyo hotel ni kweli alilala hapo tangu juzi kwenye chumba cha exctv suite sh 400000 kwa siku tangu jana alirudi usiku kutoka club na dada mweupe mrefu na asbh kaamka kajikuta hana hata chupi katoka na taulo kiunoni!!hawa dada zetu wa club cjui vp amemkomba kila kitu waziri ni aibu Mkuu wa mkoa alienda kuokoa jahazi
hivi hii imewahi kutokea kwa regime zilizotangulia au la? Maana kwa wenzetu katika mazingira haya ni ticket ya kujiuzulu.

Nakumbuka habari iliyotoka kwenye gazeti la Mwanahalisi miezi michache iliyopita kuwa huyu naibu waziri alisafiri na kwenda SA na kutumia taarifa bandia hotelini (sijui na ticket?) na hajawahi kukanusha hizo habari!

Ina maana na hiyo jean na kofia vimechukuliwa!?
03_12_gv3xh6.jpg
 
Amenikumbusha siku nililala gest ya uswahilini nguo zikachomolewa usiku kupitia dirishani, kesho yake ikabid mhudum aniazime kitrauza (kipedo) nikatinga nikawahi geto... Hivi haya mambo kumbe yapo hata kwenye nyota tano?!
 
Back
Top Bottom