LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,498
- 3,390
Atakuwa amekamata kichwa KAUMBA.....
acha aibiwe tu ngoja niende eneo la tukio kama bado yupo sasa hivi
Duh! Haya mambo bwana..... yanaweza mkuta mwanaume yeyote ....!Nimeconfirm na kijana mmoja kwenye hiyo hotel ni kweli alilala hapo tangu juzi kwenye chumba cha exctv suite sh 400000 kwa siku tangu jana alirudi usiku kutoka club na dada mweupe mrefu na asbh kaamka kajikuta hana hata chupi katoka na taulo kiunoni!!hawa dada zetu wa club cjui vp amemkomba kila kitu waziri ni aibu Mkuu wa mkoa alienda kuokoa jahazi
Nimeconfirm na kijana mmoja kwenye hiyo hotel ni kweli alilala hapo tangu juzi kwenye chumba cha exctv suite sh 400000 kwa siku tangu jana alirudi usiku kutoka club na dada mweupe mrefu na asbh kaamka kajikuta hana hata chupi katoka na taulo kiunoni!!hawa dada zetu wa club cjui vp amemkomba kila kitu waziri ni aibu Mkuu wa mkoa alienda kuokoa jahazi
........du, pole zake, hii ndio hasara ya kuchukua mizigo (wanawake) hovyo hovyo!Habari zilizopatikana sasa hivi zinasema Naibu Waziri Adamu Malima ameibiwa kila kitu ktk hoteli ya Loshera mjini Morogoro. Hadi sasa bado yuko ndani ya chumba cha hiyo hoteli hajatoka nje. Inasemekana hata nguo alizoavaa amesaidiwa tu na wasamaria wema.
Yaleyale ya mawaziri kuendelea kuumbuka ugenini!
Manjagy bado yanafuatilia issue hii nzima!
Source: Radio One, muda 13:14 pm
Kazi ya kufukua tiGo si ndogo dada angu jamaa kafukua mpaka akauchapa usingizi huyo dada akaamua wagawane umasikini
Mkuu!..una hakika?Malaya wa Kaumba atakuwa kamwibia
Nimeconfirm na kijana mmoja kwenye hiyo hotel ni kweli alilala hapo tangu juzi kwenye chumba cha exctv suite sh 400000 kwa siku tangu jana alirudi usiku kutoka club na dada mweupe mrefu na asbh kaamka kajikuta hana hata chupi katoka na taulo kiunoni!!hawa dada zetu wa club cjui vp amemkomba kila kitu waziri ni aibu Mkuu wa mkoa alienda kuokoa jahazi
Duh! Haya mambo bwana..... yanaweza mkuta mwanaume yeyote ....!
Habari zilizopatikana sasa hivi zinasema Naibu Waziri Adamu Malima ameibiwa kila kitu ktk hoteli ya Loshera mjini Morogoro. Hadi sasa bado yuko ndani ya chumba cha hiyo hoteli hajatoka nje. Inasemekana hata nguo alizoavaa amesaidiwa tu na wasamaria wema.
Yaleyale ya mawaziri kuendelea kuumbuka ugenini!
Manjagy bado yanafuatilia issue hii nzima!
Source: Radio One, muda 13:14 pm
Huyu atakuwa alikuwa anafukua mtu akachoka kwa kazi nzito hiyo nakupiga usingizi wa pono
hivi hii imewahi kutokea kwa regime zilizotangulia au la? Maana kwa wenzetu katika mazingira haya ni ticket ya kujiuzulu.Nimeconfirm na kijana mmoja kwenye hiyo hotel ni kweli alilala hapo tangu juzi kwenye chumba cha exctv suite sh 400000 kwa siku tangu jana alirudi usiku kutoka club na dada mweupe mrefu na asbh kaamka kajikuta hana hata chupi katoka na taulo kiunoni!!hawa dada zetu wa club cjui vp amemkomba kila kitu waziri ni aibu Mkuu wa mkoa alienda kuokoa jahazi