Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!


Haahaaa! Inatakiwa kujua kwa undani wizi huo ni wa mazingira yapi...yale ya karibu mgeni mwenyeji apone au? Kuna hadithi nyingi sana kwenye hilo huku mitaani. Watu wanajisahau wanapochukua kazi za nje...wanalala kama wako kwao,lol!
 

ha ha ha, kweli kama aloyvosema gwiji la moro jazz jogoo la shamba haliwiki mjini. Kijana mdogo kamwingiza mzee mjini!
 
..@Red, Mkuu ni Adam Malima. Sio Ally Malima. Pole zake kama ni kweli.
 
Tuelezwe vizuri ilikuwaje...maana wengine hata kazi za nje wanalala kama wako vitanda vya majumbani mwao.
 
mbona gari yake ya unaibu waziri iko DAR nimepark pembeni yake karibu
na askari monument majira ya saa 5 asbh!
Itakuwa kaacha gari kaenda kula bata badala yake kaliwa yeye!!!!:hand:
 
Dah........................... Kweli mdada alisherehekea siku ya wanawake duniani. Amemwonyesha naibu waziri kuwa yeye mwanamke akipewa nafasi, anaweza.

Dawa ya wasaliti wa ndoa zao.

Hivi angekuwa husband wako kakumbwa na huo mkasa akifika hom, c ungempa pole?
 
"Kuna Waziri mmoja huko Uingereza alionekana akipitapita mitaani na akina mama, basi habari zikaenea na huyo waziri akaamua kujiuzulu. Alimwandikia Waziri Mkuu barua ya kuomba kujiuzulu, kwa jinsi Waziri Mkuu alivyokasirika hakumjibu alimteua mtu mwingine kuchuakua mafasi yake." Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (1995): Akiongelea uadilifu wa Viongozi wetu.

Sijui Rais atakasirika kiasi gani.
 
Huyo ndo muisilamu safi,pamoja na ruhusa hadi wanne,haisaidii
 

yaani mkuu huu ni mwaka mbaya sana kwa baba mwanaasha.
 
asante kwa kutupa taarifa za moja kwa moja kutoka ndani ya hoteli husika
 
Anatakiwa aende HABARI MAELEZO iliyo jirani,akaongee vyombo vya HABARI kwaufanunuzi. Lakini umma unataka kujua wazi kulikoni MALIMA..........
 
Raha imegeuka kuwa karaha! pole sana mzinzi mwenzangu!
Ningekuwa Adam nikichukua mrembo nahamishia kitanda mlangoni. hakuna mtu kutoka.

halafu funguo za mlango unazitumbukia kwenye handbag au viatu vya mwanamke.
 
Ndo madhara ya kula tiGo ukubwani ona sasa baba zima limelala fofofo baada ya kupewa jicho na kuibiwa kila kitu aibu kwa mke wake aibu kwa familia aibu kwa wapiga kura aibu kwa wizara ya nishati aibu kwa serikali waziri mzinzi. Bora kama mihuri ya serikali hakutembea nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…