Naibu Waziri atajwa bonde la Ihefu

Naibu Waziri atajwa bonde la Ihefu

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
Jam-page-1-11_page-0001-800x1024.jpg

  • Ni aliyepiga simu kuelekeza ng'ombe 293 waliokamatwa Ihefu wasiuzwe.
  • JAMHURI limemtaja 'live', yeye aruka Kimanga, aanza kutafuta mchawi aliyevujisha.
Chanzo: Gazeti la Jamhuri, Desemba 27,2022-Januari 2, 2023
 
Nchi ngumu Sana hii
Chama kimeshika hatamu
Na nchi tayar Ina wenyewe [emoji848]
 
..kwanini Balile hakumtaja Naibu Waziri siku ile alipopewa nafasi ya kuzungumza mbele ya Makamu wa Raisi?
 
Deodatis Balile kabaki kuishi kwa "mipango" tu mjini. Anakufata anajifanya ana issue yako, anakwambia "umtoe" asiirushe.Ukimgomea, ndio anakuwa mzalendo

Gazeti haliuziki, kahamia kwenye sheria, nako pagumu.

Gazeti la Jamhuri linafanana na kinyonga, asubuhi Lina rangi nyeupe, jioni linakuwa jekundu.

Ndugu yangu Manyerere Jackton atakumbukwa kwa kuomba pombe ikulu, badala ya kuuliza maswali baada ya kupewa fursa na jiwe
 
Naibu waziri wa wizara gan
Habari imekaa kiudaku udaku
Na usikute drama lile la Balile ni mchongo tuu na umeratibiwa hukohuko Serikalini na ndani ya CCM kutukoroga ili ionekane kuna mambo ya maana yanatendeka huko ndani.

Toka lini mambo yanayohusu uhujumu uchumi yakawa ya siri ya kutaja majina utadhani ni masuala ya ngono?
Naanza kupata mashaka

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom