How will you manage that!!?Ni wakati sasa mita za prepaid za maji ziwekwe.iwe mwendo wa no money no water.basi
Sent using Jamii Forums mobile app
hii sio nzuri ndugu yangu kwa Mtanzania masikini,hivi unajua hizi tu zilizopo kuna watu huwa wanavumiliwa sana kwenye malipo ? mpaka inapita gari inatishia kukata maji,sio kwamba hawataki kulipa but pesa hawanaNi wakati sasa mita za prepaid za maji ziwekwe.iwe mwendo wa no money no water.basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa itatesa watu wengi sanaNi wakati sasa mita za prepaid za maji ziwekwe.iwe mwendo wa no money no water.basi
Sent using Jamii Forums mobile app