Naibu Waziri Biteko kaanza na kutukatia umeme

Naibu Waziri Biteko kaanza na kutukatia umeme

August

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
9,327
Reaction score
5,206
Naibu Waziri Mkuu ni Waziri wa Nishati, sasa Leo SAA 12 asubuhi umeme umekatika, hii inaonyesha ni mgao WA umeme. Naomba ulishughulikie Hilo.

Na pia Kwa sababu umepewa hukumu la kuratibu, kuna hiki la SGR Vs Manus ya Wabunge wetu na mawaziri , au mpaka DP weldi na hao wafanya biashara wachukue SGR yetu ndio ufanye KAZI.

Na kuna hiki la Bandari jumps DP weldi au tuendeshe wenyewe Kwa kukopa. Hizo nyenzo na upanuzi WA Bandari
 
Naibu Waziri Mkuu ni Waziri WA Nishati, sasa Leo SAA 12 asubuhi umeme umekatika, hii inaonyesha ni mgao WA umeme. Naomba ulishughulikie Hilo. Na pia Kwa sababu umepewa hukumu la kuratibu, kuna hiki la SGR Vs Manus ya Wabunge wetu na mawaziri , au mpaka DP weldi na hao wafanya biashara wachukue SGR yetu ndio ufanye KAZI.
Na kuna hiki la Bandari jumps DP weldi au tuendeshe wenyewe Kwa kukopa. Hizo nyenzo na upanuzi WA Bandari

Jana toka saa 11 jioni mpaka saa 7 usiku hapakuwa na umeme.... mitaa ya kwetu.
Upuuzi anabadilisha mawaziri with no impact
 
Mitanzania sijui tukoje? Kwahiyo kiukweli kabisa tunaamini mwanasiasa aitwae waziri ndio huwa anakata na kuwasha umeme?

Hizi shule za siku hizi kweli zinafundisha ujinga.
 
Uku kwetu mara ukatike, mara urudi, Siku ya 3 umeme mdogo,taa zinawaka kwa kusinzia. Toka aingie umeme unasumbua hatari. January alipokuepo hatukuona changamoto hizi. Atuelewi, au Vyeo vingi vimemzidi?
 
Mitanzania sijui tukoje? Kwahiyo kiukweli kabisa tunaamini mwanasiasa aitwae waziri ndio huwa anakata na kuwasha umeme?

Hizi shule za siku hizi kweli zinafundisha ujinga
UK umeme ukikatika waziri ndio anawajibika Kwahiyo na yeye anakula sahani moja na wa chini yake
 
Nataka nione atakavyojiwajibisha.
 
Waziri ndiye anayefanya umeme ukatike?

Kuna wakati tujue nani wa kupewa lawama...
 
Hahaaaa!!hivi kweli unategemea kabisa kuna la maana utaliona?!!mfano huyo waziri wa ardhi anapodai eti kesi zote za ardhi zimalizwe ndani ya siku 100!!unakuta mkoa mzima una wenyeviti wa mabaraza 2 hizo kesi wanazimaliza vipi?
 
Naibu Waziri Mkuu ni Waziri WA Nishati, sasa Leo SAA 12 asubuhi umeme umekatika, hii inaonyesha ni mgao WA umeme. Naomba ulishughulikie Hilo. Na pia Kwa sababu umepewa hukumu la kuratibu, kuna hiki la SGR Vs Manus ya Wabunge wetu na mawaziri , au mpaka DP weldi na hao wafanya biashara wachukue SGR yetu ndio ufanye KAZI.
Na kuna hiki la Bandari jumps DP weldi au tuendeshe wenyewe Kwa kukopa. Hizo nyenzo na upanuzi WA Bandari
Ungekatika wewe saa 12 asubuhi. Time za kukatika wewe unatafuta umeme.

Umeme unazimika, bado haujafundishwa kukatika.
 
Biteko kaangushiwa tu jumba bovu!

Wangemuacha Kipara hapo tuone mwisho wa sarakasi zake za ukarabati wa kituo cha Ifakara.

Sijui angeibuka na porojo gani tena maana siku mbili za service ziliisha 28/08/2023.
 
Kapewa madaraka makubwa zaidi kuliko hata ya Yesu.
 
UK umeme ukikatika waziri ndio anawajibika Kwahiyo na yeye anakula sahani moja na wa chini yake
UK... sawa kabisa.

Yanayotokea UK usiyawekee mfanano na Bongo. Mwisho wa Siku tutakuja kumlinganisha Mo Salah na Kibu Denis...
 
Zitto alipinga sana Umeme wa Maji akapigia chapuo Umeme wa gesi. Kwa Sasa tunapata 64% ya Umeme kutoka kwenye gesi na Hali inazidi kuwa Tete na Tanesco wanasema hawatapunguza bei ya Umeme!!!
 
Back
Top Bottom