Yesu amenukuliwa na waandishi wa biblia:Anaweza kuzunguka kokote....! Maana hatuambiwi kama Yesu alifika Peru wala Beijing, bali habari za Galilaya na Bethlehem lakini Waziri wa Nje, popote anafika!
Waziri aliyepita alijitahidi mno kuandaa mipango ya muda wa kati na mrefu, lakini wadau walikosa uvumilimu na yeye kuambulia kila aina ya kejeli na majina mabaya. Suala la usambazaji wa uhakika wa nishati hii nyeti linahitaji muda wa kujipanga na ni gharama pia. Vi vyema rukapima mazuri yote yaliyofanyika mpaka hivi sasa kuliko kuangalia zaidi changamoto zilizopo hivi sasa.Naibu Waziri Mkuu ni Waziri WA Nishati, sasa Leo SAA 12 asubuhi umeme umekatika, hii inaonyesha ni mgao WA umeme. Naomba ulishughulikie Hilo. Na pia Kwa sababu umepewa hukumu la kuratibu, kuna hiki la SGR Vs Manus ya Wabunge wetu na mawaziri , au mpaka DP weldi na hao wafanya biashara wachukue SGR yetu ndio ufanye KAZI.
Na kuna hiki la Bandari jumps DP weldi au tuendeshe wenyewe Kwa kukopa. Hizo nyenzo na upanuzi WA Bandari
Huelewi chain of command. Kila mmoja anamwajibisha wa chini yake.Waziri ndiye anayefanya umeme ukatike?
Kuna wakati tujue nani wa kupewa lawama...
Vip umeamka na hangover?Yesu amenukuliwa na waandishi wa biblia:
15:24
Mt 15:24 SUV
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.
Kondoo wa Tanzania mlitumiwa shetani kwa mujibu wa biblia:
Shetani ni mungu wa ulimwengu huu (2 Wakorintho 4: 4).
Nakuwekea vifungu vya biblia unasema nimelewa?Vip umeamka na hangover?
Pata supu au kazimue na bia 2
Kichwa kikae sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huelewi chain of command. Kila mmoja anamwajibisha wa chini yake.
Wananchi wanatakiwa kuiwajibisha Serikali, serikali inamwajibisha mtendaji.
Kwa hiyo wananchi kumlalamikia Waziri au Rais umeme ukikatika ni sahihi kabisa. Hawamjui fundi wala mhandisi maana hawakumpa wao hiyo nafasi.
Naibu Waziri Mkuu, pamoja na shughuli zingine za uratibu, ataratibu mgao wa umeme kwa mujibu wa m kataba wakeNaibu Waziri Mkuu ni Waziri wa Nishati, sasa Leo SAA 12 asubuhi umeme umekatika, hii inaonyesha ni mgao WA umeme. Naomba ulishughulikie Hilo.
Na pia Kwa sababu umepewa hukumu la kuratibu, kuna hiki la SGR Vs Manus ya Wabunge wetu na mawaziri , au mpaka DP weldi na hao wafanya biashara wachukue SGR yetu ndio ufanye KAZI.
Na kuna hiki la Bandari jumps DP weldi au tuendeshe wenyewe Kwa kukopa. Hizo nyenzo na upanuzi WA Bandari
Wewe ndio naona shukeni huko ulifundihwa mjinga maana umelitafsiri kichwa kichwa andiko la mtoa madaMitanzania sijui tukoje? Kwahiyo kiukweli kabisa tunaamini mwanasiasa aitwae waziri ndio huwa anakata na kuwasha umeme?
Hizi shule za siku hizi kweli zinafundisha ujinga.
Amekukatia saa ngapi huo umemeNaibu Waziri Mkuu ni Waziri wa Nishati, sasa Leo SAA 12 asubuhi umeme umekatika, hii inaonyesha ni mgao WA umeme. Naomba ulishughulikie Hilo.
Na pia Kwa sababu umepewa hukumu la kuratibu, kuna hiki la SGR Vs Manus ya Wabunge wetu na mawaziri , au mpaka DP weldi na hao wafanya biashara wachukue SGR yetu ndio ufanye KAZI.
Na kuna hiki la Bandari jumps DP weldi au tuendeshe wenyewe Kwa kukopa. Hizo nyenzo na upanuzi WA Bandari