Naibu Waziri Godwin Mollel: Bima ya afya sio mfuko wa kusaidia wasiojiweza

Naibu Waziri Godwin Mollel: Bima ya afya sio mfuko wa kusaidia wasiojiweza

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Akizungumza leo bungeni na akiwa anajibu swali la Mbunge Hawa Bananga Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel amesema kwamba bima ya afya haina lengo la kusaidia wasiojiweza

"Usisahau kwamba Bima ya afya sio mfuko wa kusaidia wasiojiweza, ni watu wanachangia fedha zao, alafu ziwatibu pale watakapokutana na matatizo. Ukigeuza kwamba bima ya afya ni mfuko wa kusaidia wasiojiweza, mwisho wa siku wewe mbunge na wafanyakazi wa umma wanaochangia kwenye ule mfuko, siku wanakuja kuugua wao watakuta fedha zipo"

 
Ndivyo inavyotakiwa, vinginevyo serikali ianzishe mfuko wa kuwasaidia wasiojiweza.
 
Yupo sahihi si mfuko wa kusaidia wasio jiweza. Lazima tukubali ukweli. Duniani huwezi kuvuna ambako haujapanda.
 
Yupo sahihi si mfuko wa kusaidia wasio jiweza. Lazima tukubali ukweli. Duniani huwezi kuvuna ambako haujapanda.
Tatizo ni makovu ya ujamaa! Kila kitu bure. Aidha ujamaa unazaa uchawa. Kweli yupo sahihi
 
Back
Top Bottom