venance H
Member
- Jan 27, 2013
- 41
- 24
mapema wiki hii nilinsikia naibu waziri wa tamisemi anayeshughulikia elimu ndugu majaliwa akiuhadaa umma kuhusu mishahara ya walimu wapya, alisema walimu ambao hawajapata mishahara ni kea sababu wamechelewa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi. hii ni kweli wadau? kweli ccm ni sawa na ukoo wa panya baba ni mwizi mama mwizi mtoto mwizi.