Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Viwanda, Exaud Kigahe wakati wa kufunga sherehe za maonesho ya SIDO kitaifa mkoani Njombe ambapo zaidi ya washiriki 628 wameonesha bidhaa zao kwenye maonesho hayo.
Kigahe amesema kuwa mikoa yote nchini imeleta washiriki kwenye maonesho hayo kwa siku 10 na kutoa fursa kwa Watanzania kutembelea mabanda yao kujionea bidhaa zao.
Ameeleza kuwa Mkoa wa Njombe umetoa fursa kwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari na vyuo kutembelea maonesho hayo kujionea kazi za wajasiliamali hao.