Mkuu nikupe hongera, unajitahidi sana kuleta taarifa/habari za Fursa mara kwa mara ila wachangiaji sio wengi,usichoke tupo tunaosoma na kujifunza kitu kipya kupitia bandiko zako,,wewe ni kwangu ni sawa na vyanzo kama Bloomberg, Financial Times au hata CNBC Make It