Naibu Waziri Kihenzile: Serikali Inalenga Kuboresha Miundombinu Yote Nchini

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301

NAIBU WAZIRI KIHENZILE: SERIKALI INALENGA KUBORESHA MIUNDOMBINU YOTE NCHINI

Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile, amesema lengo la Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, ni kuboresha miundombinu yote nchini, ikiwemo ya uchukuzi, ili kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma kwa wananchi.

"Serikali yetu imekuwa ikiwekeza kwa kiasi kikubwa katika kuboresha miundombinu yote nchini ikiwemo ya uchukuzi ili kuongeza ufanisi, usalama, na kutoa huduma bora kwa wananchi. Hii itasaidia kukuza uchumi," amesema Kihenzile.

Aidha, Kihenzile amezitaka taasisi zilizopo chini ya wizara hiyo kuongeza kasi ili kufikia malengo waliyojiwekea, ikiwemo kukamilisha miradi mbalimbali ya maendeleo kwa wakati na kwa thamani halisi ya fedha.

Kihenzile ameyasema hayo, Oktoba 25, 2024, wakati akifunga mkutano wa 17 wa tathmini ya utendaji wa Wizara ya Uchukuzi uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC)
 

Attachments

  • Screenshot 2024-10-25 at 23-32-39 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    728.1 KB · Views: 4
  • Screenshot 2024-10-25 at 23-32-30 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    729.1 KB · Views: 3
  • Screenshot 2024-10-25 at 23-32-44 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    717.8 KB · Views: 4
  • Screenshot 2024-10-25 at 23-32-49 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    869.4 KB · Views: 3
  • Screenshot 2024-10-25 at 23-33-36 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    758.5 KB · Views: 3
  • Screenshot 2024-10-25 at 23-33-32 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    854.8 KB · Views: 2
  • Screenshot 2024-10-25 at 23-33-18 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    742.8 KB · Views: 5
  • Screenshot 2024-10-25 at 23-33-12 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    889.6 KB · Views: 3
  • Screenshot 2024-10-25 at 23-33-05 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    771.8 KB · Views: 3
  • Screenshot 2024-10-25 at 23-33-28 David Mwakiposa Kihenzile (@david_mwakiposa_kihenzile) • Ins...png
    723.7 KB · Views: 2
Nimependa sana speed ya CCCC barabra ya newala masasi itakayiunganisha na mtwra corridor...ile kampuni wana vifaa vipya tupu..wapewe tenda zaido
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…