M Mkandara JF-Expert Member Joined Mar 3, 2006 Posts 15,806 Reaction score 9,011 May 13, 2008 #1 Nimeipata habari hii toka kwa Michuzi kuwa Kipenzi cha wengi Mama yetu Maua daftari kafiwa na Mumewe!.. Inna Laah wainali Laah Rajiun!
Nimeipata habari hii toka kwa Michuzi kuwa Kipenzi cha wengi Mama yetu Maua daftari kafiwa na Mumewe!.. Inna Laah wainali Laah Rajiun!
Mbu JF-Expert Member Joined Jan 11, 2007 Posts 12,752 Reaction score 7,861 May 13, 2008 #2 inna lillah wa inna ilayhi rajuun, sote ni wa mwenyezi mungu na kwake ni marejeo. Mzee ametangulia nasi tujiandae, safari ya wote hiyo... poleni sana wafiwa.
inna lillah wa inna ilayhi rajuun, sote ni wa mwenyezi mungu na kwake ni marejeo. Mzee ametangulia nasi tujiandae, safari ya wote hiyo... poleni sana wafiwa.
O Ogah JF-Expert Member Joined Mar 10, 2006 Posts 6,227 Reaction score 1,553 May 13, 2008 #3 Dah, Pole sana Mama Maua, pole kwa ndugu na jamaa wote
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 May 13, 2008 #4 Pole sana mama..wakati mgumu sana maishani..ila Mungu akutie nguvu na kazi yake haina makosa.........RIP
Pole sana mama..wakati mgumu sana maishani..ila Mungu akutie nguvu na kazi yake haina makosa.........RIP
Single D JF-Expert Member Joined Feb 27, 2007 Posts 457 Reaction score 15 May 13, 2008 #5 Poleni wafiwa