Naibu waziri Maua daftari afiwa na Mumewe!

Naibu waziri Maua daftari afiwa na Mumewe!

Mkandara

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2006
Posts
15,806
Reaction score
9,011
Nimeipata habari hii toka kwa Michuzi kuwa Kipenzi cha wengi Mama yetu Maua daftari kafiwa na Mumewe!..
Inna Laah wainali Laah Rajiun!
 
inna lillah wa inna ilayhi rajuun, sote ni wa mwenyezi mungu na kwake ni marejeo. Mzee ametangulia nasi tujiandae, safari ya wote hiyo... poleni sana wafiwa.
 
Dah,

Pole sana Mama Maua, pole kwa ndugu na jamaa wote
 
Pole sana mama..wakati mgumu sana maishani..ila Mungu akutie nguvu na kazi yake haina makosa.........RIP
 
Back
Top Bottom