johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Naibu waziri wa mambo ya ndani mh Jumanne Sigini amesema auwaji yanayoendelea nchini ni fedheha kwa taifa na amewataka askari polisi na vyombo vingine vya dola wayakomeshe.
Aidha naibu waziri amesema serikali haihusiku na matukio ya moto yaliyotokea mfululizo hususani kwenye masoko na kwamba masoko hayo ni mali ya serikali hivyo haina sababu ya kuyahujumu.
Source: ITV habari
Kwa mahojiano kamili tazama kipindi cha Dakika 45 saa 3:00 usiku huu