johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hata polisi wanatuhumiwaHuu ndiyo upoyoyo aliousema Nguromo! eti naagiza wayadhibiti! Nonsense. Sema watafanya nini wayadhibiti, what are the mechanisms ni place to contain those killings? yanasababishwa na nini? Polisi wako wapi?
Usiishie hapo. Ni ujuha kunuuliza polisi "kwa nini yule mtu kamuua mke wake kwa wivu wa mapenzi?".Nchi ya majuha hii. Acha niishie hapa
Huyu angepelekwa MOE kwenye fani yake ya ualimu, huku kwenye mambo ya bunduki angewekwa mwenye taaluma hiyo, huo muda wa kulalamika majukwaani asingekuwa nao ingekuwa full vitendo.Naibu waziri wa mambo ya ndani mh Jumanne Sigini amesema auwaji yanayoendelea nchini ni fedheha kwa taifa na amewataka askari polisi na vyombo vingine vya dola wayakomeshe.
Aidha naibu waziri amesema serikali haihusiku na matukio ya moto yaliyotokea mfululizo hususani kwenye masoko na kwamba masoko hayo ni mali ya serikali hivyo haina sababu ya kuyahujumu.
Source: ITV habari
Kwa mahojiano kamili tazama kipindi cha Dakika 45 saa 3:00 usiku huu
Hawa mawaziri vilaza kweli, polisi watazuiaje mauaji wakati wao ni sehemu ya wanaofanya mauajiNaibu waziri wa mambo ya ndani mh Jumanne Sigini amesema auwaji yanayoendelea nchini ni fedheha kwa taifa na amewataka askari polisi na vyombo vingine vya dola wayakomeshe.
Aidha naibu waziri amesema serikali haihusiku na matukio ya moto yaliyotokea mfululizo hususani kwenye masoko na kwamba masoko hayo ni mali ya serikali hivyo haina sababu ya kuyahujumu.
Source: ITV habari
Kwa mahojiano kamili tazama kipindi cha Dakika 45 saa 3:00 usiku huu
Watu wanauana kwa msongo wa mawazo na ugumu wa maishaNaibu waziri wa mambo ya ndani mh Jumanne Sigini amesema auwaji yanayoendelea nchini ni fedheha kwa taifa na amewataka askari polisi na vyombo vingine vya dola wayakomeshe.
Aidha naibu waziri amesema serikali haihusiku na matukio ya moto yaliyotokea mfululizo hususani kwenye masoko na kwamba masoko hayo ni mali ya serikali hivyo haina sababu ya kuyahujumu.
Source: ITV habari
Kwa mahojiano kamili tazama kipindi cha Dakika 45 saa 3:00 usiku huu
Hii ya BashitePolisi ipi hiyo,
RIP hamza
Hatari snHawa mawaziri vilaza kweli, polisi watazuiaje mauaji wakati wao ni sehemu ya wanaofanya mauaji
Polisi wanachangia sn kwa ukatili waoUsiishie hapo. Ni ujuha kunuuliza polisi "kwa nini yule mtu kamuua mke wake kwa wivu wa mapenzi?".
Masauni pia aneongea hivyo hivyo. Polisi anaulizwa kwa nini watu wanauana? Polisi waulizwe tu kwa nini wahalifu hawakamatwi? Kwa nini watu wanauana kawaulize psychiatrists.
Fuatilia, labda ni ya madagascar. Sijui na ya mfanyabiashara wa Mtwara yatadhibitiwa na naniPolisi ipi hiyo,
RIP hamza
Namimi nimejiuliza hili swali Madam, juzi tu nimesikia wamtoa mtu roho mahabusu huko Tabora.Polisi ipi hiyo,
RIP hamza