Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko amwakilisha Rais Samia Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika 2024, Dodoma

Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko amwakilisha Rais Samia Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika 2024, Dodoma

Itoshe Kusema, Doto Biteko ana kitu na atafika mbali.

Waliofanya vetting kumpa u naibu W/Mkuu waliona penyewe
Biteko ni zao la Padre Kitima akiwa Saut Mwanza.

Bado Mungu anatupenda kutusazia majemedari wazalendo, waadilifu wachapakazi.

Umebarikiwa sana Tanzania.

Amen
 
Back
Top Bottom