PreGE2025 Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko: Asitokee mmoja miongoni mwenu wa kuwagawanya, msigawanyike shikamaneni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewataka walimu nchini kushikamana na kutokukubali kugawanywa

Dk Doto Biteko amesema hayo Jumapili Juni 8, 2025 jijini Dodoma wakati akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Saba wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT).

"Wapeni heshima walimu wa Tanzania kwa kuwa wamoja zaidi, kamwe asitokee miongoni mwenu wa kuwaganya wa kumwita huyu ni wa fulani, huyu ni wa fulani na kiongozi mzuri ni yule ambaye ana uwezo wa kukaa na mtu ambaye hata kama hakubaliani nae kwa maslahi ya taasisi. Msigawanyike shikamaneni"

tumeshagawanyika, ushuhuda utaupata for example ccm ikiondoka madarakani ndiyo utona hakuna amani wa umoja.
Kenya wana umoja maana kila mtu anasema ukweli wake bila hofu. Hapa watu wamemeza mafundo makubwa ya visasi kwenye mioyo yao!
 
Back
Top Bottom