Sahivi kila siku kuanzia saa 12 jioni umeme unakatwa huku Arusha wilayani Arumeru, kurudi saa 5 usiku, huu ni mgao? Kwanini msitangaze? Huu mgao upo na maeneo mengine ya nchi?
Shida Biteko baada ya kuwa naibu waziri mkuu naona muda mwingi yuko kwenye uzinduzi wa shughuli mbalimbali hajihangaishi na kero za wananchi, tumelalamikia hili suala tangia mwezi wa 6 hakuna kinachobadilika.
PIA SOMA
- Dtk. Biteko: Tumetekeleza agizo la Rais. Mgao wa Umeme imemalizika rasmi