Sahivi kila siku kuanzia saa 12 jioni umeme unakatwa huku Arusha wilayani Arumeru, kurudi saa 5 usiku, huu ni mgao? Kwanini msitangaze? Huu mgao upo na maeneo mengine ya nchi?
Shida Biteko baada ya kuwa naibu waziri mkuu naona muda mwingi yuko kwenye uzinduzi wa shughuli mbalimbali hajihangaishi na kero za wananchi, tumelalamikia hili suala tangia mwezi wa 6 hakuna kinachobadilika.
sikuna meneja wa tanesco wilaya ungemuuliza, sisi huku bariadi hatuna mgao, pia kuna namba ya kastama keya ungepiga ukawauliza, muda mwingine mnajipaga stress bure