Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko ni Turufu Kuu ya Rais Samia katika kupata Kura nyingi za Kanda ya Ziwa

Kanda ya Ziwa ndiyo yenye Utajiri mkubwa wa Mikoa mingi na yenye Wapiga Kura wengi na ambao Wakiudhiwa na wasipotulizwa wanaweza kufanya Maamuzi yasiyotegemewa katika Sanduku la Kupiga Kura.

Baada ya Kugundua Watu wa Kanda ya Ziwa wana Visununu vikubwa Viwili 1. Kuondoka kwa Mtu Wao kuwa na Mashaka mengi na 2. Kutengwa na kuonekana hawana Umuhimu Serikalini huku Wengine wakiondolewa katika Nafasi / Nyadhifa zao illilazimika Akili Kubwa kutumika ili kuwarejesha katika Mstari.

Hivyo basi Kuteuliwa Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu ni kwa Kimkakati zaidi ili amrahisishie Kazi Mama (Mheshimiwa Rais Samia) Kuaminika, Kukubalika na kupata Kura nyingi kutoka Kanda ya Ziwa yenye Utajiri mkubwa wa Mikoa na Makabila yenye Maamuzi na Ushawishi wa Kisiasa kwa Tanzania.

Kampeni za 2025 zikianza tu Naibu Waziri Mkuu Dk. Dotto Biteko atatumiza kama Lifti Kuu ya Kumbeba Rais Samia ambaye no doubt kuwa atagombea Urais wa Kupigiwa Kura Yeye kama Yeye tofauti na ilivyo sasa ambapo GENTAMYCINE sioni Aibu au Uwoga kusema kuwa Yeye ni Rais Deiwaka tu akiwa amechukua nchi baada ya aliyekuwa Boss wake John Pombe Magufuli kututoka duniani / Kufariki mwaka 2021.

Kanda ya Ziwa yote mpaka Mikoa ya Jirani watakuwa Wanaambiwa Nichagueni Mimi nifanye Kazi na Mtoto wenu Dk. Dotto Biteko Jambo ambalo kwa Sayansi ya Siasa na kwa Mazingira yatakayokuweko pamoja na Ushawishi wa Kiproganda itamsaidia sana Mama na CCM yake Kuzoa Kura nyingi Kanda ya Ziwa na Mikoa Jirani.

Kwa kumalizia tu GENTAMYCINE naomba nichukue nafasi hii adhimu (in advance) kabisa Kumpongeza Dk. Dotto Biteko kwa kwenda kuwa Waziri Mkuu Kamili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania November, 2025 huku nikimuomba awe makini (tena kupita Maelezo) ili yale ya Marehemu Deo Filikunjombe yasije Kumtokea na akawa Historia.
Baada ya uchaguzi atatoswa...
 
Una akili za kijima sana wewe kuli
 
Ondoa hapo neno may be na jua ya kwamba Dotto Biteko ndiyo next Premier wa Tanzania kuanzia mwaka 2025.
Ujinga mwingine pelekeni kwenu visiwani huko.

Mrema alikuwa naibu waziri mkuu ,mbona hakuwahi kuwa pm?
 
Kwani Magufuli alikuwa Msukuma? Mrundi anakuwaje Msukuma?

Halafu msijizime data, labda ya ziwa si ya wasukuma pekee, kuna Mara na Kagera, acheni kujipaisha kiboya.

Kama mnaamini Wasukuma mpo wengi daini Jamhuri yenu.
Nakuunga mkono
 
Ujinga mwingine pelekeni kwenu visiwani huko.

Mrema alikuwa naibu waziri mkuu ,mbona hakuwahi kuwa pm?
Acha kunipotezea muda kwani hujawahi kumiliki Akili tokea ulipozaliwa sawa?
 
Wewe jamaa hapa jamiiforums huwa unajifanya una akili kuliko members wote ilhali kumbe ni miongoni mwa members wapumbavu mno na wa kupuuzwa.

Hivi kuna upinzani thabiti tanzania wa kuweza kuiondoa ccm madarakani? hayati baba wa taifa katika moja ya hotuba zake aliwahi kusema kwa upinzani dhaifu ulioko nchini siku ccm ikimtangaza mgombea wake huenda ikawa imeshantangaza rais ajaye. itafute ili ujiridhishe nayo.

Ni ushamba na Upumbavu kujiita dr fulani hapa jamiiforums wakati kichwani mwako kumejaa tu usaha na uchangiaji wako umejaa ushamba, ujivuni wa kijinga na story nyingi za vijiweni.

Badilika unaboa ila watu hawakuambii tu badala yake wanakunyamazia huku wakikusanifu na wewe kujiona mjanja na mjuaji wakati kumbe ni lofa na juha tu.
Hakuna mpumbavu na pimbi hapa jamvini kuliko wewe na mawazo ya karne ya 17
 
Back
Top Bottom