KERO Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati hii katika katika ya umeme wilaya ya Arumeru mkoani Arusha ni ya nini?

KERO Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati hii katika katika ya umeme wilaya ya Arumeru mkoani Arusha ni ya nini?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Doslamari

New Member
Joined
Jun 21, 2024
Posts
4
Reaction score
1,499
Huku wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha kuna tatizo kubwa sana la umeme, kwa siku umeme unaweza kukatika hata mara 10 au zaidi. Tatizo ni nini?

Nchi sasa hivi haina shida ya umeme, kuna nini huku Arumeru. Mhe. Naibu Waziri Mkuu tunaomba wasaidie wananchi wako. Hii ni hujuma dhidi ya serikali ya CCM ukizingatia huu ni mwaka wa uchaguzi, kuna watumishi wa umma ni wapinzani wa maendeleo ya Serikali kuichongea kwa wananchi.

Umeme kwa maisha ya sasa hivi ni kila kitu, shughuli za kiuchumi zinasimama. Kama kuna hujuma wahusika washuhulikiwe vikali.

Vile vile ni wakati sasa kuwahamisha mameneja wa TANESCO wilaya ya Arumeru na wa mkoa wa Arusha, hawa watu wamejisahau hawahangaika na hii kero ya umeme.

Pia soma
 
Back
Top Bottom