Naibu Waziri Mkuu wa sasa ndie Waziri Mkuu ajae wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Naibu Waziri Mkuu wa sasa ndie Waziri Mkuu ajae wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Ni suala la muda muafaka na nyakati kutimia tu,

Lakini uhalisia wa mambo na hisabati na sayansi ya siasa ina dhihirisha kwamba kuanzia Oct.2025, Dr. Samia Suluhu Hassan atakua Rais, Dr. Emanuel Nchimbi atakua Makamu wa Rais, Ndg. Dotto Biteko atakua waziri mkuu wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania, kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
 
Na mgombea mwenza (makamu wa Rais) aliyependekezwa ndiye mgombea urais wa awamu itakayofuata.
 
Acha karata hayo mambo anayajua samia mwenyewe. Acheni kubahatisha ili mpate kiki. Biteko ni mpole sana hafai kuwa PM. Pm lazima we mkali kwa uzembe na rushwa hasa, Biteko hawezi ht ogea yake tu haina mamlaka.
 
CCM mmeishiwa hadi mnaanza kutujazia wanyarwanda. Nchi hii ikifika kuwa kama Congo ndo mtapata akili kuwa nyie ni mazwazwa
 
Kama Lisu ataendelea kuwepo na kutoa elimu ya kutosha wengi sn watajitambua na kukataa huu ushetani wa kuongozwa na koo zilezile
Sasa mbona makosa yale yale ya mwamba yanaanza kufanyika mapema sana? “Kama lissu ataendelea kuwepo” je asipokuwepo? Je akiunga mkono juhudi?? Je trends za politics zikibadikika??? Kuna umuhimu sana wa kujenga taasisi imara badala ya kutukuza watu. Unless CDM itakuwa imeondoa tatizo ikakaribisha tatizo.
 
Hujaelewa, namaanisha Lisu hana mkataba na MUNGU, anachokifanya ni kutoa elimu ya uraia pamoja na kujenga taasisi ambayo watu wengi watashawishika kumtoa mkoloni CCM madarakani, kumbuka sasahivi watu wenye degree Tanzania wanafika milioni 2 mpk 2030 watakuwa zaidi ya milioni 5 hapo nje na diploma, f6, f4 kwa hiyo kundi la wajinga litakuwa limepungua sn.
 
Ni suala la muda muafaka na nyakati kutimia tu,

Lakini uhalisia wa mambo na hisabati na sayansi ya siasa ina dhihirisha kwamba kuanzia Oct.2025, Dr. Samia Suluhu Hassan atakua Rais, Dr. Emanuel Nchimbi atakua Makamu wa Rais, Ndg. Dotto Biteko atakua waziri mkuu wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania, kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hongera kwa kuiba Toka Post yangu ya jana.

Mods weka huu Uzi kwenye uzi wangu wa jana, kichwa Cha habari kiwe changu Cha jana
 
Uyo ni chambo tu hatokuja kuwa Pm kamwe anatumika kwasababu
 
JamiiForums
Jukwaa la Siasa
Pre GE2025 Kassimu Majaliwa "Mjomba" kesho yako imevurugwa kwa Makusudi. Fuata nyazo za Dkt. Mpango Philip
Thread starterNandagala One Start dateToday at 1:20 AM TagsNone
Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
1 of 4
Next
Last
Unsubscribe

•••
Nandagala One
Nandagala One
JF-Expert Member
Today at 1:20 AM
Add bookmark
#1
Heshima kwenu,

Moja kwa moja kwenye mada husika.

Mheshimiwa PM, Mbunge wa Ruangwa "Makomasho"

Napenda kutoa ushauri wangu kwako, kuhusu upepo A.K.A "mbungo" ambayo inavuma katika viunga vya msitu wa rangi ya uhai kijani.

Jaribio la Mama kujipitisha kwa mfumo wa "hati ya dharula "certificate of emergency/urgency" ambayo iliacha watu midomo wazi na kusabisha wengi kukosa usingizi usiku wa siku ile ya mkutano.

Kadiri ya upepo ulivyo, mimi naiona nafasi yako ni ndogo sana kuendelea vema kwenye siasa za Tanzania baada ya uchaguzi mkuu huu 2025.

Dr Emanuel Nchimbi mgombea mwenza tarajali wa Samia ni team Lowasa/ambayo ni team Rostam Aziz , A.K.A "King 👑 Maker "

Rostam ,is not in favor of you ku hold nafasi kubwa Tena ndani ya Serikali, na hata Mama pasi na shaka ana mtizamo tofauti kabisa juu yako.

Nafasi Yako ilikuwa ,na ulistahili pasi na shaka wewe ndio uwe mgombea Mwenza wa Samia, lakini mambo yamekuwa tofauti na ulivyotarajia/walivyotarajia wajuvi pamoja na mimi binafsi kama self political analyst.

Chemistry imekaa vibaya., kwa hili nisitafsiriwe mimi ni mdini, la hasha!!
Zanzibar Daktari Hussein Mwinyi Muslim, Samia Bara Toka Zanzibar Muslim, na wewe Toka Bara Muslim??

Naiona nafasi ndogo ya kuwa PM baada ya Uchaguzi mkuu ujao.
Uwaziri mkuu wa 2025 October utakuwa na misingi ya dini ,na kanda, hasa kanda ya Ziwa.

Kwanini kanda ya ziwa , watasema tuleteeni "PACHA" tuna mpango naye ili zipatikane kura za kanda ya ziwa za kutosha za CCM.

Nia Yako ya kugombea tena ubunge Ruangwa ni njema sana, kwa kazi kubwa nzuri uliyofanya kwa watu wa Ruangwa miundombinu ya Afya, Elimu na kikubwa zaidi ni barabara ya lami Nanganga, Ruangwa to Nachingwea, kwakweli tunakushukuru.

Pamoja na hayo yote, naona sio vizuri wewe kurudi bungeni ukawe mbunge wa kawaida kutoka uwaziri mkuu, hiyo haijakaa vizuri mbele ya Jamii, vikubwa kwa wale ambao walikuwa chini Yako ulipokuwa PM ambao kwa maagizo Yako na maelekezo yako ya kiutawala wengine walionankama wanachapwa bakora, Kwenzi au "Njingo" nkokota.

Natamani sana kuona haugombei Tena ubunge Ruangwa, sio kwamba sipendi haugombei la hasha!! unless una ahadi isiyo na shaka na Mama ya kukurudisha umalizie U PM kwa miaka mitano ijayo ili mumalize safari pamoja.

Nasema hivyo kwa vile chemistry ili ikae sawasawa ni muhimu PM awe Mkristu, VC Mkristu , Rais Zanzibar Mwislamu na Rais Bara ni Mwislamu.

Ingawa pia niweke "benefit of doubt " bonafide ,kwamba hiyo sio kanuni inaweza isifuate hivyo ila tu ni tahadhari ambayo naiona kwa jicho pekenyevu na fikra tunduizi.

Mwisho Mwishoni natamani kwa kweli kwa ajili ya heshima yako uliyojijengea mbele ya jamii, ni vema ukatafakari ikikupendeza kufuata nyayo za Mzee wetu Daktari Philip Mpango.

Nakuangalia sana katika medani za Siasa kwa sasa ndani ya CCM ulistahili hata kuwa kiongozi mkuu wa nchi yetu,lakini mazingira ya siasa,Kuna hila za makusudi , ghiriba, husuda za kuzima nyota yako utoke nje ya duara mapema.

Leo hii wewe unavokubalika kanda ya ziwa, ambayo watu wanaona sura ya Mwamba Jiwe ndani yako ilikuwa ni turufu tosha CCM kupata votes nyingi bila kumtumia "pacha"

Lakini bahati mbaya mfumo hauendi kadiri ya matakwa yetu.

Kugombea ubunge Ruangwa Leo ni sawasawa na kucheza kamari Gambling, unaweza kigombea na Mama akabadili gia angani akakuteu Tena uwe PM.

"To choose between two equal,is bad alternative in serious dillema.

Watu wa Ng'au ,Chimbila, Nanditi,Manokwe,Chiepo,Mandambe,Mandarawe,Ole, Nanguruwe,Namahema,Nnindu,Nkowe,Kipindimbi, Mitope na Likunja kuwataja wachache, wangetamani sana kuona heshima yetu inasimama mahali pake kutokana na upepo unaoendelea Chamani.

Mimi ni mdogo kiumri Sina mang'amuzibya kutosha,ila naona tu Mungu ameniongoza hivyo,Sina nafasi ya kukuona, Mwishoni mwa mwaka nilisafiri ili kupata angalalau nafasi tutete lakini protocol hazikuruhusu

Ndimi "Mjomba"

Nandagala one, Mpumalanga Afrika Kusini.
🙏🙏
 
Ni suala la muda muafaka na nyakati kutimia tu,

Lakini uhalisia wa mambo na hisabati na sayansi ya siasa ina dhihirisha kwamba kuanzia Oct.2025, Dr. Samia Suluhu Hassan atakua Rais, Dr. Emanuel Nchimbi atakua Makamu wa Rais, Ndg. Dotto Biteko atakua waziri mkuu wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania, kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Ditto Biteko, kama vyombo vya ulinzi na usalama vitakuwa makini sana hagai kwa nafasi ya waziri mkuu.

Morphology yake na asili yake inahusiano mkubwa na Rwanda ya Paul Kagame.

Kagame yupo kwenye mpango wa mda mrefu wa kusimika BAHIMA EMPIRE, Hamites empire, Dola ya Kihima.

Hawezi kusimika Dola kwa kuongeza mipaka kwa vita, la hasha ni kwa kusimika Viongozi wenye asili Kubwa ya Rwanda.

Katika hilo amefaulu, Kuna majaji, maafisa wakubwa wa Uhamihaji,maafisa jeshini, na serikalini.

Rejea General Jacob Nkunda CDF wetu alipomwambia waziwazi Rais Samia kuwa Kuna watu wapi kwenye nafasi za maamuzi ambao Uraia wao na asili yao ya kigeni.

Sijui kama Samia alielewa , Doto Biteko kwa muonekano tu, achilia mbali asili, huyu sio mwenzetu.

Vyombo vya usalama vifanye vetting nzuri, namuonea na kuona mpango wa Kagame unafaulu.

Mpaka kufika 2040 Kagame / Rwanda itakuwa ime plug wafanya maamuzi wengi ndani ya Serikali, Chama na vyombo vya ulinzi na usalama.

Bukoba, Geita,Kigoma, ni Sehemu za kuogopwa sana kutoa Viongozi wakubwa wafanya maamuzi wa serikali.
 
Kupanga safu ya uongozi wa nchi kabla ya uchaguzi nao ni uchawa.
 
Kajamaa kana wajomba na baba zake wadogo huko Burundi.
 
Ni suala la muda muafaka na nyakati kutimia tu,

Lakini uhalisia wa mambo na hisabati na sayansi ya siasa ina dhihirisha kwamba kuanzia Oct.2025, Dr. Samia Suluhu Hassan atakua Rais, Dr. Emanuel Nchimbi atakua Makamu wa Rais, Ndg. Dotto Biteko atakua waziri mkuu wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania, kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hakuna hiyo,kwasababu ccm hawatashinda uchaguzi mkuu mwaka huu. Itakuwa historia kubwa sana kuwahi kutokea.
 
Kajamaa kana wajomba na baba zake wadogo huko Burundi.
Naam, hiyo ni hatari sana kwa usalama wa Taifa letu kumpa cheo mtanzania Mwenye asili na ndugu kutoka nchi jirani zenye unasaba na Rwanda na Burundi!! Sijui watu wa vetting wanaangalia nini wakati wa vetting??
au não ni sehemu ya mapandikizi ya Kagame??
 
Hakuna hiyo,kwasababu ccm hawatashinda uchaguzi mkuu mwaka huu. Itakuwa historia kubwa sana kuwahi kutokea.
Umenena vema kabisa mkuu, CCM chini ya mgombea aluyejipitisha kimagumashi, hatoboi nakuambia!! Aksante kwa kuliona hilo!!!
 
Na mgombea mwenza (makamu wa Rais) aliyependekezwa ndiye mgombea urais wa awamu itakayofuata.
Hakuna waziri mkuu au makamu wa Rais atakuja kuwa Rais labda Rais
aliye Madarakani afe ndio makamu atakuwa Rais.Hii nchi ina mifumo yake ambayo haijaandikwa popote ila ni RASMI machoni Kwa wafanya maamuzi(kamati kuu ya ccm)
 
Back
Top Bottom