Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Kumbe kuna kipindi huyu jamaa anakuwa bubu Yanga ikifungwa?Maneno ya Haji Manara kuwa huko Yanga wenye akili ni wawili tu yametimiaView attachment 2638559View attachment 2638560
Kihelehele chake sio gsm tu hata huyo engineer hakuvaa.Mwana FA hajiamini tu . Hao jamaa hawana shukrani hata kidogo. GSM mwenyewe hakuvaa njano iweje yeye avae?
Rashidi?Kifupi / Kiufupi Naibu Waziri wa Michezo Rashid Mwimjuma (alias Mwana FA) ulichokifanya leo ni Usaliti mkubwa na Usiovumilika dhidi ya Klabu yetu ya Simba SC.
Naushauri Uongozi wa Simba SC uache mara moja Kukuamini, Kukushirikisha katika Mambo yake na ikiwezekana hata Kadi yako ya Uanachama wakunyang"anye.
Poleni ila leo nina furaha isiyoelezeka.
Mmelowaaaaaaaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema Tumekandwaa kaka bora sisi tuna cha kujifarijii
Mchane live jamaa hajielewi.Huna Akili kwani Rage siyo mwana Simba SC lia lia kama Mwana FA? Uliona kavalia Jezi ya Yanga SC? Mwana FA ( Naibu Waziri wa Michezo Hamis Mwinjuma ) katukosea pakubwa wana Simba SC kwa Kitendo cha Kuvaa / Kuvalia Jezi ya Yanga SC leo.
NakaziaKifupi / Kiufupi Naibu Waziri wa Michezo Rashid Mwimjuma (alias Mwana FA) ulichokifanya leo ni Usaliti mkubwa na Usiovumilika dhidi ya Klabu yetu ya Simba SC.
Naushauri Uongozi wa Simba SC uache mara moja Kukuamini, Kukushirikisha katika Mambo yake na ikiwezekana hata Kadi yako ya Uanachama wakunyang"anye.
Poleni ila leo nina furaha isiyoelezeka.
Uko sahihi 100%. Man u unavaa jezi ya Liverpool, uliona wapi.Kifupi / Kiufupi Naibu Waziri wa Michezo Rashid Mwimjuma (alias Mwana FA) ulichokifanya leo ni Usaliti mkubwa na Usiovumilika dhidi ya Klabu yetu ya Simba SC.
Naushauri Uongozi wa Simba SC uache mara moja Kukuamini, Kukushirikisha katika Mambo yake na ikiwezekana hata Kadi yako ya Uanachama wakunyang"anye.
Poleni ila leo nina furaha isiyoelezeka.
Uzalendo ni kwa nchi yangu si kwa hao mbwakoko Yanga.Hapana mkuu.
Mwana FA ni KIONGOZI anawaongoza watu wote pasi na kuwabagua.
Nimefurahi sana kumuona Rage na Mwana FA wanatuwakilisha.
Hii ndio FAIR PLAY.
ULIKUWA MCHEZO WA KIMATAIFA TULIPASWA KUWA NA UZALENDO
Hata watutukane.
Wakapokee wageni.
BADO SIMBA ITAENDELEA KUWA TIMU KUBWA ZAIDI
Na Huwezi Kuwa Raisi Sasa Kwasababu Unachuki Chuki zako Ni zaidi Ya Mpira Mimi sio shabiki wa simba ila jezi ya simba ninayo japo nilivaa juzi kati hapo kwenye mechi kati ya simba na wydad Mpira ni furaha ukiona unateseka kuichukia timu usiyoishabikia hilo ni tatizo la kiufundi kichwani mwako wahi kwa doctorMm nilishaapa hata nikiwa Rais aslan siwezi kuvaa jezi ya Yanga
Pumbavu nilijiunga JamiiForums ili kutafuta hiyo P yako. Kama unajua / unajijua hunipendi GENTAMYCINE ns unachukizwa na Threads zangu kwanini huwa unazisoma, unazifuatilia mpaka Kunijibu hivi?
Hivi GENTAMYCINE ambsye naendelea kuwa na Utajiri wa Followers hapa JamiiForums wapatao 155 sasa P yangu hapa inashuka au inapanda?
Kuhusu kuanzisha Mada nyingi hapa JamiiForums sitoacha leo wala Kesho na ukiona nimeacha jua nimekufa sawa?
Muda si mrefu nakuja na Thread nyingine hapa JamiiForums na Kukukera zaidi Damn Fool nitakutagi Makusudi ili uuone na nikijisikia naweza kuanzisha tena Nyuzi ( Threads ) zingine hata 40 kwa Usiku huu
Kwa maandishi yako, hakuna mwanaume hapa. PolePumbavu nilijiunga JamiiForums ili kutafuta hiyo P yako. Kama unajua / unajijua hunipendi GENTAMYCINE ns unachukizwa na Threads zangu kwanini huwa unazisoma, unazifuatilia mpaka Kunijibu hivi?
Hivi GENTAMYCINE ambsye naendelea kuwa na Utajiri wa Followers hapa JamiiForums wapatao 155 sasa P yangu hapa inashuka au inapanda?
Kuhusu kuanzisha Mada nyingi hapa JamiiForums sitoacha leo wala Kesho na ukiona nimeacha jua nimekufa sawa?
Muda si mrefu nakuja na Thread nyingine hapa JamiiForums na Kukukera zaidi Damn Fool nitakutagi Makusudi ili uuone na nikijisikia naweza kuanzisha tena Nyuzi ( Threads ) zingine hata 40 kwa Usiku huu huu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pumbavu nilijiunga JamiiForums ili kutafuta hiyo P yako. Kama unajua / unajijua hunipendi GENTAMYCINE ns unachukizwa na Threads zangu kwanini huwa unazisoma, unazifuatilia mpaka Kunijibu hivi?
Hivi GENTAMYCINE ambsye naendelea kuwa na Utajiri wa Followers hapa JamiiForums wapatao 155 sasa P yangu hapa inashuka au inapanda?
Kuhusu kuanzisha Mada nyingi hapa JamiiForums sitoacha leo wala Kesho na ukiona nimeacha jua nimekufa sawa?
Muda si mrefu nakuja na Thread nyingine hapa JamiiForums na Kukukera zaidi Damn Fool nitakutagi Makusudi ili uuone na nikijisikia naweza kuanzisha tena Nyuzi ( Threads ) zingine hata 40 kwa Usiku huu huu.
Nataka kuandika kitu ila ngoja nikae kimya ila tu jamaa kama dalhaliHuna Akili kwani Rage siyo mwana Simba SC lia lia kama Mwana FA? Uliona kavalia Jezi ya Yanga SC? Mwana FA ( Naibu Waziri wa Michezo Hamis Mwinjuma ) katukosea pakubwa wana Simba SC kwa Kitendo cha Kuvaa / Kuvalia Jezi ya Yanga SC leo.
Mpira siku hizi umeingiliwa na watu wa ovyo..... Mpira ulikua mchezo wa kiume,, tena wanaume wenye msimamo ila sasa hivi umama mwingiUko sahihi 100%. Man u unavaa jezi ya Liverpool, uliona wapi.
Kwa akili hizi mumeo ana shida sanaZa Aliyekuzaa nae uhakika ziko sawa?
Kabisa mkuu jamaa chenga sanaHayuko sawq