Naibu Waziri Mwana FA, Aden Rage na GENTAMYCINE tumechukizwa na Simba SC ila kamwe hatuwezi kuvaa jezi ya Yanga SC

Kifupi / Kiufupi Naibu Waziri wa Michezo Rashid Mwimjuma (alias Mwana FA) ulichokifanya leo ni Usaliti mkubwa na Usiovumilika dhidi ya Klabu yetu ya Simba SC.

Naushauri Uongozi wa Simba SC uache mara moja Kukuamini, Kukushirikisha katika Mambo yake na ikiwezekana hata Kadi yako ya Uanachama wakunyang"anye.

Poleni ila leo nina furaha isiyoelezeka.
Rashidi?
 
Brother bwana, hivi huonagi wala kuwazaga kuwa hizi nyuzi unazoandika kila mara zinakushusha P huku JF.
 
Kifupi / Kiufupi Naibu Waziri wa Michezo Rashid Mwimjuma (alias Mwana FA) ulichokifanya leo ni Usaliti mkubwa na Usiovumilika dhidi ya Klabu yetu ya Simba SC.

Naushauri Uongozi wa Simba SC uache mara moja Kukuamini, Kukushirikisha katika Mambo yake na ikiwezekana hata Kadi yako ya Uanachama wakunyang"anye.

Poleni ila leo nina furaha isiyoelezeka.
Nakazia
 
Uko sahihi 100%. Man u unavaa jezi ya Liverpool, uliona wapi.
 
Hapana mkuu.

Mwana FA ni KIONGOZI anawaongoza watu wote pasi na kuwabagua.

Nimefurahi sana kumuona Rage na Mwana FA wanatuwakilisha.

Hii ndio FAIR PLAY.
ULIKUWA MCHEZO WA KIMATAIFA TULIPASWA KUWA NA UZALENDO

Hata watutukane.
Wakapokee wageni.

BADO SIMBA ITAENDELEA KUWA TIMU KUBWA ZAIDI
Uzalendo ni kwa nchi yangu si kwa hao mbwakoko Yanga.

Wakishashinda Ni mitusi tu.
 
Mm nilishaapa hata nikiwa Rais aslan siwezi kuvaa jezi ya Yanga
Na Huwezi Kuwa Raisi Sasa Kwasababu Unachuki Chuki zako Ni zaidi Ya Mpira Mimi sio shabiki wa simba ila jezi ya simba ninayo japo nilivaa juzi kati hapo kwenye mechi kati ya simba na wydad Mpira ni furaha ukiona unateseka kuichukia timu usiyoishabikia hilo ni tatizo la kiufundi kichwani mwako wahi kwa doctor
 
Pumbavu nilijiunga JamiiForums ili kutafuta hiyo P yako. Kama unajua / unajijua hunipendi GENTAMYCINE ns unachukizwa na Threads zangu kwanini huwa unazisoma, unazifuatilia mpaka Kunijibu hivi?

Hivi GENTAMYCINE ambsye naendelea kuwa na Utajiri wa Followers hapa JamiiForums wapatao 155 sasa P yangu hapa inashuka au inapanda?

Kuhusu kuanzisha Mada nyingi hapa JamiiForums sitoacha leo wala Kesho na ukiona nimeacha jua nimekufa sawa?

Muda si mrefu nakuja na Thread nyingine hapa JamiiForums na Kukukera zaidi Damn Fool nitakutagi Makusudi ili uuone na nikijisikia naweza kuanzisha tena Nyuzi ( Threads ) zingine hata 40 kwa Usiku huu

Pumbavu nilijiunga JamiiForums ili kutafuta hiyo P yako. Kama unajua / unajijua hunipendi GENTAMYCINE ns unachukizwa na Threads zangu kwanini huwa unazisoma, unazifuatilia mpaka Kunijibu hivi?

Hivi GENTAMYCINE ambsye naendelea kuwa na Utajiri wa Followers hapa JamiiForums wapatao 155 sasa P yangu hapa inashuka au inapanda?

Kuhusu kuanzisha Mada nyingi hapa JamiiForums sitoacha leo wala Kesho na ukiona nimeacha jua nimekufa sawa?

Muda si mrefu nakuja na Thread nyingine hapa JamiiForums na Kukukera zaidi Damn Fool nitakutagi Makusudi ili uuone na nikijisikia naweza kuanzisha tena Nyuzi ( Threads ) zingine hata 40 kwa Usiku huu huu.
Kwa maandishi yako, hakuna mwanaume hapa. Pole
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huna Akili kwani Rage siyo mwana Simba SC lia lia kama Mwana FA? Uliona kavalia Jezi ya Yanga SC? Mwana FA ( Naibu Waziri wa Michezo Hamis Mwinjuma ) katukosea pakubwa wana Simba SC kwa Kitendo cha Kuvaa / Kuvalia Jezi ya Yanga SC leo.
Nataka kuandika kitu ila ngoja nikae kimya ila tu jamaa kama dalhali
 
Uko sahihi 100%. Man u unavaa jezi ya Liverpool, uliona wapi.
Mpira siku hizi umeingiliwa na watu wa ovyo..... Mpira ulikua mchezo wa kiume,, tena wanaume wenye msimamo ila sasa hivi umama mwingi
 
Back
Top Bottom