Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake Jinsia na Makundi Maalum Mwananidi Ali Khamis amesema Serikali imeanzisha mchakato wa kuwasajili madereva wa vyombo vya magurudumu mawili, maarufu kama bodaboda, katika mfumo maalum ili waingizwe katika utaratibu rasmi kwa ajili ya kuwawezesha kiuchumi.